Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu...
0 Reactions
10 Replies
313 Views
Picha inajieleza Waonyeshe hii halafu usiongee kitu
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu. Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana. imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Sina haja na salamu. Hakuna asiyejua kama mimi ni Shabiki kindakindaki ya YANGA SC. 1.Yanga yangu kimataifa inapwaya sana.Jana tumezubaa mpira hata haujavuka mstari refa akaita kati wachezaji...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF ) Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu. Baadhi ya vipengele hivyo...
3 Reactions
13 Replies
754 Views
Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,, Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba...
3 Reactions
16 Replies
919 Views
Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali, Kama msemaji wa yanga...
1 Reactions
8 Replies
479 Views
Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe...
1 Reactions
6 Replies
648 Views
Katiba mchezo wa leo, beki wa Simba aliepwea kadi ya njano alistahili kadi ya njano au kadi nyekundu? Tujadili kwa uwazi na objectively ila hata kesho tuwe na uwezo wa kuhoji pale timu pinzani...
1 Reactions
17 Replies
821 Views
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona. Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
12 Reactions
122 Replies
4K Views
Ulevi, bangi na elimu ya kukalilishwa ni tatizo kubwa kwa nchi yetu. Haiwezekani timu imeshinda halafu kuna watanzania wachache wapuuzi wanakimbilia kupigana na wageni tena kwa kung'oa viti...
3 Reactions
0 Replies
245 Views
Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kibu hajaimbwa sana kwenye ligi ya NBC..! Wachambuzi hawamuoni ama wanajifanya hawamuoni. ' Role ' anayoivaa kwenye Mechi Muhimu za Kimaamuzi za Kimataifa ndizo zinazomfanya awe 'distinct'...
4 Reactions
5 Replies
451 Views
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika...
5 Reactions
80 Replies
4K Views
Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League. Yanga kwasasa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100% .someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha michezo ya soka na netiboli, kwa timu zilizoundwa na...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…