Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam...
1 Reactions
8 Replies
753 Views
Unaitwa bingus national stadium. Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
3 Reactions
23 Replies
2K Views
INASEMAKANA SIMBA WAMEMSAJILI VICTOR AKPAN. je uwezo wa akpan na Tadeo Lwanga nani mzuri. Tudadavua hapa isije ikawa Simba tunacheza kamari tu. Me maoni yangu kama mwana simba ni mchezaj wa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Source; Mwananchi Updates
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Nasemaje!! yatakuja majitu yenye roho mbaya hapa na kubisha, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndugu zangu. Hyu kiumbe kadhihirisha kwamba yeye ni noooma sana nchi hii kauli zake kama sumaku ...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mabingwa wapya wa Tanzania, Dar Young Africans maaarufu kama Yanga usiku huu imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole Kambole ambaye ni raia wa Zambia amejiunga na Yanga kama...
8 Reactions
149 Replies
9K Views
Klabu ya Simba leo imeingia mkataba na benki ya Equity ambao utawezesha benki hiyo kusimamia mradi wa kadi mpya za wanachama na mashabiki ambazo zitaitwa Simba Card. Kadi hizo zitatumiwa na...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Anaandika Meneja Ahmed Ally Nilitegemea hili na wasingejitoa ningeshangaa sana! Wakati wanaianza safari ya NANI ZAIDI hawakua na dira wala muelekeo Waliingia kichwa kichwa pengine walitaka...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Ligi nyingi kubwa Duniani ziliisha karibu wiki tatu sasa sie bado labda hadi mwisho wa mwezi huu ndio inasemekana tutamaliza! Hii ni shida, tuombe hili lisijirudie tena msimu mpya ujao, unakuta...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanabodi. Niko naamgalia mpira wa Azam VS Namungo, kiukweli hii ni moja ya Big, very big match. Wachezaji wanaonesha ubora mkubwa sana, lakini ubora huu unachaguzwa na kiwanja bora kabsa cha...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tushazoea kutaja mishahara ya wa wachezaji wa majuu, wabongo magumashi kujua, very undisclosed. Tusaidiane watoto wa mjini.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndani ya misimu minne ntashinda taji moja. Ndivyo Klopp alivowaambia waandishi wa habari misimu mitatu na nusu iliyopita. Jamier Ghalagher alimuonya Klopp kuwa siyo rahisi kihivyo na ni kosa kubwa...
15 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wanamichezo. Nini tofauti kati ya Meneja wa mchezaji na Wakala wa mchezaji?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
RAIS wa Africa Boxing Union (ABU), Houcine Houichi amesema moja katika sababu iliyofanya wamvue mkanda Bondia Hassan Mwakinyo ni kugoma kupigana na Bondia Brandon Tysse kutoka Afrika Kusini. ...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu jamaa huwa haoni mbele? Pasi nyingi anapiga kuelekea golini kwake.
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Haji Manara ameishiwa hoja, amesikika akimponda Bin Kazumari kuwa hajui kuongea lugha ya kiingereza, hivyo hawezi kuwa wakala wa mchezaji Farid Mussa, anasema wakala lazima ajue kimombo, akamsifia...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa! Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo...
9 Reactions
101 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…