Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Juni 16 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni, mtaalamu mbobezi wa kusakata Kabumbu lililothibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF...
Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham...
Manager mpya wa Aishi Manula mchambuzi mahiri Maestro Ibrahim
Aisha Manula kaacha na manager wake wa zamani Jemedari Said.
Huwezi ukawa meneja na unagombana na matajiri kila siku, Jemedari aweke...
1. Atawaambia Wachezaji wake anaowamudu kuwa Wampambanie kwa kumpa Ushindi Mechi zote zilizobaki ili aaminiwe na asitemwe kabisa Simba SC.
2. Atawapanga zaidi Wachezaji Washkaji (Marafiki) zake...
Sio Kama ambavyo Manara alivyo wadanganya wana yanga na waandishi wa habari wasiojua chochote na walio kosa udadisi..
IKO HIVI
-Msimu huu wa mashindano ya CAF, Simba ya Tanzania ilianzia raundi...
🇸🇳| Mwanaume Kama Sadio 🫡
Sadio Mané alikwenda kucheza mpira wa miguu kijijini kwao Bambali na marafiki zake wa utotoni.
Mvua hiyo haikuweza kumzuia nyota huyo wa Senegal kukumbuka enzi zake...
Jana wakati klabu yangu Yanga SC ikitwaa ubinga wa 2021 /2022 baadhi ya wachezaji. Waliojiwa na Gift Macha kueleza hisia zao na furaha zao kufikia hatua hi muhimu kabisa kuchukuwa ubingwa kabla...
Aisee huyu Benno Kakolanya Leo amenikosha sana kwenye mechi na Mbeya City, ameonyesha uwezo mkubwa sana, kama sio yeye ngoma ingekuwa 3 - 3, kuna makosa ya wazi kabisa yamefanywa na mabeki wa...
Klabu ya Simba leo hii Juni 15, 2022 hatimaye imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji hatari Moses Phiri raia wa Zambia.
Phiri amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ya Wekundu wa...
Yaani unaingia utafute taarifa current unakutana na last updated Machi 2022. Seriously!? Badilikeni mnatutia aibu kama taifa, ligi ya Tanzania unakosaje taarifa kwenye tovuti yenu.Imagine hapo...
Michuano ya dunia ya darts imeanza leo huko Ujerumani June 16 mpaka June 19 itakapoisha.
Ukiacha South Africa hakuna nchi nyingine ya Africa inayoshiriki hili kombe la dunia.
Rai: wizara ya...
Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe.
Rangi hizo zilikwishapigwa...
Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football
Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11
Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol.
Sasa ukija...
Simba imevuliwa ubingwa, wale viongozi waliodhani wanamkomoa Mo Dewji wakae wakijua kuwa aliyekomoka sio Mo Dewji, ni sisi wanachama na mashabiki, tunajua viongozi wala hamshtuki kwa sababu haya...
Yeeees! Karibuni Sana Wapenzi Wa Soka, Wapenzi Wa NBC Premier League Ama Kwa Hakika Leo Juni 15, 2022 Inapigwa Mechi Kali Hapa, Mechi Dume Kati Ya Dar Es Salaam Young Africans Dhidi Ya Coastal...
Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja...
Wakubwa tuna changamoto kubwa ya kupata wadhamini wa timu yetu ya mpira daraja la kwanza (Champions). Aidha waliotangulia kwenye mpira hawakuwa watu sahihi na wamevuruga hali ya hewa kiasi kwamba...
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu.
Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa...
Hata mwaka jana Simba SC ilipotaka Kumsajili Moses Phiri tayari Uwezo wake ulikuwa umeshashuka na nilishangaa Kusikia kuwa bado Simba SC walikuwa wameshamhakikishia kuwa Watamsajili Kwa Msimu...