huyu kocha inaonekana n kipenz Cha mwekezaj na wanasimba kwa ujumla
Haiwezekani makocha karibu watatu wanafukuzwa naye akiwa kama kocha msaidizi ila yeye haguswi hata kidogo
Mm nadhan Kama...
Wakuu let us think Literally.
Hoja yangu ni kuwa, Sawa Pablo Leo anafukuzwa Lakini:
1. Je,kuhusu viwanja vya mikoani kuwa ni vibovu, si kweli?
2. Ugonjwa wa Simba hauna tofauti na WA...
Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa.
Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya...
KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA
Kocha yeye kila siku kulia
Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA
Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi...
Hivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.
Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni...
Mada hii ni yakiroho,ya jicho la tatu, haitaki matusi.
Utamaduni wa kubadirishana jezi umetokea ulaya,huku kwetu hautufai kwani kwa jicho la kiroho njia rahisi ya kuua vipaji vya wachezaji...
Wakuu,
Kuna kila dalili timu yetu imekuwa na underground management crisis ambayo kwa nje hatuoni. Ni vizuri tuamue hatma ya timu yetu sasa kabla haijawa worse zaidi next season.
Hii timu...
Sawa. Tumekubali kwamba nyie Utopolo FC ndiyo mabingwa NBC Premier league mwaka huu.
Pia mtachukua ubingwa wa Azam FA CUP. Tukutane msimu ujao Utopolo wakubwa nyie!
Binafsi sielewi shida ni nini, Liverpool imedominate mpira, matokeo yake kombe linarudi Madrid.
Hii ni changamoto kwa timu za England linapokuja suala la UEFA.
Real Madrid wameingia kwenye...
Hawa Utopolo Simba ilipomuuza Chama walipiga domo sana,kwamba Simba imeuza mchezaji muhimu. Sasa limetokea la kutokea leo wanasema Chama amefulia ndo maana amerudi. Hawa ni haters, chuki za...
Ibrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji...
Nyie Simba SC na UTOPOLO hii game kati ya Ahly na Wydad, mnaitizama ?
Mkiiangalia hii game , je itawachukua karne ngapi kufika huko?
Hizo level mnaziona? Au ndio mtaendelea kumgombania chama na...
Mechi ijayo ya NBC PL, Yanga akimfunga Coastal Union, anatwaa Ubingwa wa NBC PL.
Kwa maana hiyo Ubingwa wa Yanga wa NBC PL upo mikononi Kwa Coastal Union!
Kisha Yanga akimfunga Coastal Union...
Nawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana...
Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga...
Ripoti mbalimbali toka viunga vya jiji la Liverpool zinabainisha mshambuliaji wao raia wa Senegal, Sadio Mane, ataondoka dirisha hili la kiangazi.
Habari hizo zinadai kwamba, Bayern Munich...