Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?
John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake.
John Bocco huyu kupiga shuti kwake ni...
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC.
Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo...
Habari zenu mabibi na mabwana!
Leo ni sikukuu kubwa barani Ulaya na Duniani kwa ujumla. Ni mchezo wa Fainali ya Uefa Champions League kati ya Liverpool Vs Real Madrid.
Awali fainali hii...
Na Thadei Ole Mushi.
1. Pale Simba kwa wachezaji wa Nje wabaki wawili tu Inonga na Kanoute. Hawa kina Onyango ni wakati wa kwenda kupiga kura huko Kenya na Kubakia huko huko.
2. Mayele...
Absolutely amazing scenes at the Etihad. Last time I saw this was at the same Etihad in 2012
And yesterday I couldn't resist my tears after observing Gudiola in tears.
Actually it was my first...
Mashabiki wa Yanga uzi huu ni kwaajili ya kutoa maoni na mapendekezo ya namna ya usajili kwenye maeneo yenye mapungufu ili kuifanya Yanga iwe imara zaidi ili kwenye klabu bingwa ifanye vizuri kwa...
Mimi naijua Simba, sijaanza kushabikia Leo wala jana, nmeanza kwenda uwanjani kuangalia Simba enzi za akina Aston Padon, Juma Limonga, Sunday Juma, Mosses Mkandawile, Omary Hussein Kevin keegan...
Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo.
Kwa...
Kwa ninavyoelewa, endowment fund huwa zinatolewa na matajiri kama msaada. Yaani hiyo pesa inawekezwa na faida anapewa yule mnufaika wa msaada. Lengo huwa na mnufaika kuwa na pato endelevu.
Sasa...
Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii.
Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua...
Imekuwa kawaida hapa Tanzania karibia maeneo yote kukuta vijana wakiongelea mpira kutumia neno position badala ya possession wanapokuwa wakimaanisha umiliki wa mpira. Na maandishi huwa wanawekewa...
Wachezaj na viongoz wa timu tajwa hapo juu msimu huu mlisajiri vizuri chombo chenu Cha usafiri na hii iliwafanya msafiri kwa raha Sana Tena mno na hamkusajir uwanjani kwasababu hakikuwa kipaumbele...
Wahenga wa JF
Wapo WanaSoka wengi maarufu walochezea Klabu kubwa Tanzania kama Simba, Yanga , Pan Africa bila kusahau Timu ya Taifa ( Taifa Stars)
Tunawapongeza kwa mchango wao mkubwa wa...
Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo.
Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid).
Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris...
Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban
Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza...
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC ...
Tanzania kama Mwenyeji imeambulia nafasi ya Tano kati ya Nchi Saba zilizoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki ya Riadha (EAAR), kwa Vijana wa Umri chini ya 18 na 20 yaliyoshirikisha Nchi zaidi...