Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile...
2 Reactions
19 Replies
844 Views
Mechi imeisha Kama ulivyotuahid ahadi ni Deni Mliyekarubu yake mwambien Wana jf tunasubiri Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi kama mwanachama hai wa Simba na shabiki ndakindaki nina wasiwasi na na uwezo wa Simba kuchukua kuwatoa Yanga nusu fainali kutokana na mizaha ya Simba halafu isitoshe Yanga hawana tena presha...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Huu mtihani unachukuliwa poa sana. Nadhani hata viongozi wanaona ni mwepesi kwakuwa mtani wao aliweza kufanya vyema kwenye medani hizo huku akiwa Bingwa wa Ligi akiwa na perfomance mbaya kuzidi...
0 Reactions
11 Replies
626 Views
Mashabiki wa Simba wanadeal na timu yao, pamoja na makosa ya waamuzi yaliyowapa Yanga matokeo hadi wanaenda kuchukua ubingwa hatujasikia mashabiki wa Simba wakilalamikia TFF wala Karia. Yanga mna...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Hizi ndio mechi mchezaji anapewa fungu ili auze au apoteze ushindi kwa makusudi. TAKUKURU zuieni hilo mapema. Zipo fitina kibao kama mchezaji kulazimisha kupewa red card ilimradi timu yake...
1 Reactions
12 Replies
715 Views
Habari za muda huu Naleta mada kibishi hapa jukwaani. Hivi wanasimba wenzangu hatuwezi kushinikiza Said Ndemla kurudishwa kikosini? Ukilinganisha Aliondolewa Ndemla akaletwa kanute na...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo mashabiki wa Simba hasa mitandaoni wanaonekana kuwa na matumaini kibao tofauti na wenzao wa Yanga. Sijui ni kwanini.
0 Reactions
5 Replies
702 Views
Cheza sasa kwa 1000 ushinde Bilioni 1 na SportPesa. Ni Supa Jackpot Ya Bilioni Moja kwa 1000. Jackpot mbili kila wiki za SportPesa!. Dar es Salaam. 25 Mei ,2022. KAMPUNI ya Michezo na Burudani...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwako Bumbuli. ombea sana kesho mshinde la sivyo mkifungwa wa kwanza raia wa utopoloni kushuka naye jumlajumla ni wewe Umefanya press conference na Ahmed , ulishindwa kabisa kumpa makavu ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Walikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili.
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Mashindano ya Olyimpic yanaanza kutimua vumbi huko Tokyo Japani. Kila nchi iko kule ili kujitangaza na kuonyesha Ubabe, Mashindano ya Olyimpic pia ni kipimo cha Ukubwa wa nchi kiuchumi fuatilia...
2 Reactions
6 Replies
662 Views
Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini...
0 Reactions
3 Replies
403 Views
Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10. Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe...
1 Reactions
6 Replies
633 Views
  • Poll Poll
Nani kuibuka kidedea hio kesho saa 4 usiku! Huku benzema kule salah.
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
It's greats especially in expanding sports tourism thank mama #SSH for an unique exposure Dar es Salaam. Former Tanzania national football team (Taifa Stars) head coach Marcio Maximo is expected...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…