Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
Mchezo ulikuwa mzuri
Nampongeza coach Saed Ramovic
Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho...
Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa...
Yanga inaweza kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa kutumia mbinu na mfumo unaojikita kwenye nidhamu ya kiufundi, mbinu za kushambulia kwa tahadhari, na kutumia faida ya nguvu ya...
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πππ
Mwisho...
Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho.
Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai.
Kuna bonus za last season wachezaji wanadai
Kuna wachezaji Kama Azzi K...
Game imeshaisha hii. Hongera sana wananchi. Haikuwa na namna ni kuwachapa hao waduanzi kwao na kisha kuja kuwachapa na huku kwetu.
TP Mazembe ilikuwa zamani kwa sasa jamaa ni wazembe sana. Ni...
Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo...
Mashindano ya shirikisho ya timu ndogo na hata hazijulikani
Tuseme tu ukweli nani anayeijua timu ya CS sFaxien inayocheza na Simba Jumamosi?
Hii timu kwenye ligi ya Tunisia ipo nafasi ya 6, sawa...
Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe.
Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga.
Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara...
Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuhusiana na kufukuzwa kazi aliyekuwa kocha wa yanga.
Mimi siafiki lawama kutupiwa Hersi.
Sababu ziko wazi kabisa yeye licha ya kuwa Engineer wa kusoma,lakini...
Mungu fundi kwelikweli. Yanga (Damas) kapigwa 2-0 na Simba (Ndumbalo) ni kama tu wamepigwa pia 2-0 ukiondoa bao la kubahatisha la Shabalala. Nchi imetulia hakuna vuvuzela hata moja lilisikika...
Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata...
Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha ,
ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania...
Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi!
Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha.
Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli...