Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao.
Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini.
Unatazama soka mpaka unafurahia.
Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika...
Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA!
Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji...
Matokeo wanayopata Yanga kwa Sasa Ni matokeo halisi ya mpira kwasababu kwa hapa ligi ilipofikia bahasha hazifanyi kazi tena.
Kil timu ukiondoa mbili au nne za juu yeyote anaweza kushuka daraja ...
Liverpool imefanikiwa kushinda Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley, leo Mei 14, 2022.
Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo...
Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu...
Kuna timu moja inajiita "tamu" inawindwa vilivyo na mnyama.
Kwa kipindi kirefu imekuwa ikipokea wageni toka nje ili kuwapa utamu wake lakini mnyama amekuwa akikichafua hadi wanashindwa kupeana...
Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna...
Pape Sakho ni mchezaji mzuri sana ila ana kasoro nyingi sana, ni mchezaji laini sana, sio fighter kama Kibu Denis, anakabika kirahisi halafu ana dharau wakat bado mashabiki hawajaridhika naye, sio...
Timu ya Tanzania Prisons imepewa ushindi wa alama tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike February 11, 2020 baada ya timu ya Ruvu Shooting ambao ni wenyeji wa mchezo kushindwa kuleta...
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo
Sasa hivi ni upepo unasomwa...
Mchezaji Bernad Morrison inasemekana amerudi tena Yanga kuendelea na kazi yake ya uwakili msomi, hata hivyo pamoja na uzuri wake dimbani bado mchezaji huyo ni liability na sio asset.
Yanga wakae...
inawezekana vp manispaaa ina gari moja tu la wagonjwa... inakosa ambulesi katika mechi muhimu kama hii
Au ni hujuma tu ili mbeya kwanza wapate ponti za bure
Mechi kuhairishwa kwa sababu ya...
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu.
Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge...
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika...
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John...
Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata...
Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga...
Kiwango kinachoonyeshwa na Kibu Denis kimewasuta wengi waliodai kuwa hakuwa na hadhi ya kuchezea Simba, jamaa ana nguvu, akikupa msuli ana turn right au left, kama hujala chakula vzr utamkuta...