Siku hizi nafasi hii imekuwa msaada mkubwa kwa walinzi na nafasi yao ni kucheza kwa kuwasaidia walinzi na pia wakiwa na nafasi ya kutengeneza mashambulizi.
Viungo kama Claude Makelele, Patrik...
Wengi hawataamini lakini ukweli ndio huu,
Hali ya kukosa mabao kwa Yanga leo imeingia katika mechi dhidi ya Tanzania Prison, kabla ya hapo zimekuwepo mechi kadhaa ambapo Yanga mbali ya kucheza...
Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo.
Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi.
Tusaidieni...
Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi...
Mashabiki wa Simba wanatumia Akili saana kueneza propaganda Zao siku hizi baada ya kuona mwaka huu kombe hawana wameanza propaganda kumtowa mayele kwenye reli Mara sio mshambuliaji
Mara ni wa...
Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora...
Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhani Kama wa physics advance
Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje
Waliosema yanga ipo vizur wajitathmin Sana Tena mno
Kila...
Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio...
Kwa kweli Haji Manara na GSM kama wanataka kuishi kwa amani na kama wanataka kuwajua vizuri mashabiki na wanachama wao basi wakose ubingwa, maana haiwezekani timu iongoze ligi tangu mwaka jana...
Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe...
Mechi nyingine ya tatu mfululizo Timu ya yanga inadroo leo. Hasimu wao, mtani na bingwa mtetezi ametoka kushinda mechi Jana Kwa ushindi mnene wa goli nne, lakini mechi ya nyuma kabla ya Ile ya...
Simba inashuka dimbani jumatano kupepetana na Kagera Sugar ambao raundi ya kwanza waliwadhalilisha ugenini kwa bao la mchezaji wao wa zamani Hamis Kiiza Diego.
Kagera Sugar ni miongoni mwa timu...
Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania...
Live dk 18 .Al ahly vs es setif
Huu mpira umechangamka sioni hawa mapacha wa mchongo hapa mjini wakikanyaga hata nusu fainal labda baada ya miaka 20 kupita kitakapo kuja kizazi kingine tofauti na...
Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania.
Kutokana na sababu mbalimbali...
Pamoja na kupoteza kwa magoli manne kwa moja timu ya Jkt Ruvu wamenikosha katika umiliki mzuri,jinsi walivyoweza kutumia nafasi kati ya mtu na mtu,kuanzia langoni mwao hadi kukaribia au kuingia...
Kocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana...
"Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile"...
Tetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League kupigwa leo Mei 8, 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anamkaribisha Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Takwimu na kila...