Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Jana Usiku kulikuwa na ufc #274 Kati ya Charles Oliveira vs. Justin Gaethje ambapo Justin Kapigwa KO na Amepoteza nafasi ya Kuwa New Ufc274 Champ . That's great to keep the belt vacant Lakini I...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Dimtry Bivol bondia kutoka Russia hatimaye ameweza kumshinda kwa points, bondia machachari kutoka Mexico Saul Alvarez Canelo katika pambano la raundi 12 lililofanyika Las Vegas. Pambano lilianza...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo! Morrison naye pia hayupo?! Pablo anaihujumu Simba?! Nb; Simba ya makaratasi uwanjani leo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tafakuri Tunduizi kutoka kwa George RWECHUNGURA LIGI DHAIFU AMA SIMBA DHAIFU? Twende na hoja ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally kuhusu @nbc_premierleague_tanzania msimu...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Jumamosi kuamkia jumapili hii (tar 6-7) ni siku kubwa kwa wapenzi wa combat sports duniani; upande wa boxing kutakuwa na pambano kubwa linalomuhusisha bingwa na no1 P4P anayejulikana kwa jina la...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
Huyu jamaa amekuwa kivutio huko twitter kwa namna anavyoripoti mechi zinazohusu timu yake ya Ruvu Shooting. Kongole kwake...
32 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwanza weken kikos hapa Karibun
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Hongereni Wanasimba kwa kukataa huyu mnafiki. Bwana Juma Nkamia ameangukia pua puu katika uchaguzi wa Simba hapo jana. Nkamia ni mtu mwenye majivuno mengi. Ni yeye aliyewahi kuja na hoja ya...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mechi ya leo mancity na Newcastle itakuwa ya hasira. City wanataka faraja na kufuta huzuni kwa kufungwa na Madrid. Newcastle watapokea kipigo cha mbwa mwizi. City watafunga Masoli zaidi ya sita...
1 Reactions
10 Replies
562 Views
KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mzee wa kipaza cha sumu ya panya,mende hongera sana
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Full Time: Simba inapata ushindi na kufikisha pointi 40 katika Ligi Kuu Bara. Dakika ya 90, Meddie Kagere anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali. Simba wanaongeza presha zikiwa zimesalia...
7 Reactions
324 Replies
19K Views
Majibu yangu...... Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) Endapo katika hizi Tano kati ya Saba...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kufuatia gazeti la michezo la Mwanaspoti la leo Mei 6,2022 kuandika kuwa sare ya Simba SC dhidi ya Namungo FC na Azam FC kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Yanga SC yatanguliza kwenye michuano...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba. Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake. Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…