Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

KWENYE LALIGA Mpaka sasa Benzema Ni, [emoji117]Top scorer wa laliga, Ana magoli 26, Anayemfata ana magoli 15 (iago aspas-celtavigo, tomas-espanyol) [emoji117]Top assist wa laliga, Ana assist 11...
20 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndio hivyo wakuu.. Hizo timu zikatambike wanakoendaga R.Madrid, Liverpool na Bercelona ndio zitaweza kushinda hilo kombe la UCL.
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka.? Ni imani yangu kua mko poa.! Leo jumatano ya May 04 2022 kuna mtanange mkali mchezo na 168 wa NBC PREMIERE LEAGUE kati ya Ruvu shooting dhidi...
1 Reactions
176 Replies
10K Views
Hili wananchi lazima tulielewe. Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Au ligi imepoteza mvuto ghafla, maana kimya kabisa. Hadi muda huu hakuna hata uzi maalumu. KWELI Simba ndo wenye ligi
2 Reactions
5 Replies
412 Views
Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Tofauti na Aishi Manula, Beki kama Zimbwe Jr, Henock Inonga, Achieng Onyango, Shomari Kapombe. Wengi wanacheza chini ya kiwango sana. Huwezi...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Fulham ameshapanda wakati kashuka msimu wa karibuni. Norwich , Watford nao wanashuka na kupanda ndani ya muda mfupi. Burnemouth nae anaelekea kupanda wakati kashuka msimu uliopita. Zamani...
5 Reactions
12 Replies
807 Views
Mashabiki wa Villarreal tujuane hapa Villarreal 3 Liverpool 0 Final de Paris
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao. Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba...
12 Reactions
144 Replies
7K Views
Je wajua ?! Imebaki timu moja pekee katika timu (16) ambayo haijapoteza dhidi ya Yanga SC msimu huu mpaka sasa !! [emoji735] Mbeya city [emoji736] Simba sports club - x 1 [emoji736] Namungo fc...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
"""Bondia wa ngumi za kulipwa nchini amefanikiwa kutunukiwa zawadi ya TV Inch 32 kufuatia kuibuka bondia aliyecheza vizuri zaidi katika pambano lake alilomchapa Elvis Mensah raia wa Ghana katika...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Tuambizane ukweli, tuache ujuaji usio na msingi. Ktk kipindi cha miaka minne, Simba haijawahi kuzidiwa pointi 12 huku ikiwa imwcheza idadi ya mechi sawa na Yanga. Aidha, timu hii mwaka huu...
0 Reactions
9 Replies
580 Views
Wakuu ligi imekuwa ngumu,Obvious inajulikana Bingwa atakuwa Simba au Yanga. Ili moja akutwe au aachwe zaidi kwenye msimamo unategemea atapoteza point kwa timu ipi ?
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Kwa sasa bila shaka Yanga ni timu ndogo Sana. Kilichobaki kwa Yanga Ni uzee yaani Ni timu kongwe. Ukisikiliza press wanazoitisha hawa watu wawili Manara na Bumbuli utagundua kwamba hawana plan...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wasalam nimeona kwenye website ya kuaminika klabu ya Simba Sc, ni ya tatu kwa utajiri Africa, ya kwanza Al Ahly, ya pili Zamalek. Orodha ya klabu tajiri Africa. 1. Al Ahly 2. Zamalek. 3. Simba...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC) Premier League kuendelea kuvurumishwa leo March 4, 2022 ambapo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Kagera Sugar wanakipiga na Namungo FC, saa 10: 00 Jioni, huku...
15 Reactions
312 Replies
17K Views
Assalamu Alaykum. Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…