Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni...
1 Reactions
5 Replies
948 Views
Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka. Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha...
4 Reactions
3 Replies
811 Views
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani. Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine. So, bila ushabiki wa timu au...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Akiitakia heri Simba dhidi ya Orlando Kama kawaida fans wa Simba wameamua kwenda nae sawa man to man kwenye page yake.
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Kijana anatamba hapa kazini kwake anaongea kwa dharau kwelikweli anawashangaa wana simba wanalalamika nini/ anauliza mbona wamechoka mapema ?anasema dawa ya moto ni moto, kijana kwa hakika...
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo. Basi...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Timu ya Simba katika mchezo wa raundi ya pili robo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeona andiko kuhusu kuhamishwa kwa ofisi za tff kupelekwa mikoani tanga, je kutakuwa na tija kweli? ktk kupata huduma, mtu atoke songea aende tanga kweli? Au ndo maandalizi ya kumuweka mtu awe...
2 Reactions
13 Replies
990 Views
Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao. Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita...
10 Reactions
21 Replies
4K Views
Harry alipokea vitisho hivyo kupitia e mail, vilivyohusisha kulipua nyumba yake. Harry aliripoti Polisi kuhusu issue hiyo, hii ilipelekea Maguire kuondoka nyumbani hapo ili uchunguzi ufanyike...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa kiasi kikubwa kamati hii inafanikiwa kwa sababu miongoni mwa wanachama wake,tulithibitishiwa na msemaji wao kuwa,wenye akili timamu ni wawili tu. Inafanikiwa kwa kusaidiana na mabwana zao...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Je Tanzania ataweza kufuzu mbele ya miamba hii. Group F Algeria Uganda Niger Tanzania === Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius Group B: Burkina Faso...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3...
12 Reactions
64 Replies
4K Views
Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama...
2 Reactions
8 Replies
891 Views
Leo tutaiangalia kwa harakaharaka keno inachezwaje ili kuwapa mwanga wale wasiojua huu mchezo unachezwaje na baadhi ya trick(s) unazoweza kutumia ili kujishindia pesa. Utangulizi. Keno ni mchezo...
9 Reactions
96 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…