Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza.
Bwalya...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga).
Pia, Soma: Singida Black Stars...
Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa
Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama...
Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja...
Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba.
Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama...
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga.
Soma, Pia...
Wakuu
Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya...
Sababu
1.mechi mnayoanza away dhidi ya MC Alger lazima ugongwe
2.Ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed Abdelrahman )
3..MC Alger Sina haja ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hekima na unyenyekevu mkubwa sana,kwa upendo na heshima kubwa sana na uzalendo wa hali ya juu sana ningependa kutoa rai na ushauri wangu kwa viongozi wangu hasa...
Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo...
Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo.
Afisa Habari wa...
Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa...
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi 4 kwa muda wa saa mbili , dakika 4 na sekunde thelathini na nane ( 2:04:38 PB) na kuweka muda bora zaidi ya uliopita wa (2:05:39 huko...
Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi?
Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya...
Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno
Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc
Constantine fc...
Uchambuzi wangu
Kombe la shirikisho (kama linavyoitwa ni kombe ambalo ni low quality linashirikisha timu ndogo zilizojichokea budgetically, financially and physically that's y linaitwa kombe la...
Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja...