Ukiangalia kitaalamu na ukadadavua tactically utagundua kuwa washambulizi watatu wote wa Simba ni sawa na Mayele mmoja wa Yanga SC.
Hata ujio wa Chama hautoweza kufua dafu kwa hawa wazee...
naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali...
Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi.
Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji...
Kama tunavyojua klabu ya soka ya Yanga ina vina saba vya CCM na imekuwa ikijulikana kama timu ya chama na serikali. Unapo iongelea Yanga unaiongelea CCM na unapo iongelea Yanga unaiongelea...
Mimi ni shabiki wa timu ya simba Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wadau mbalimbali wakitaka kocha wa simbs amtumie Kagere badala ya Mugalu Ila wengi wanaendeshwa na mihemko. Naomba...
Mimi ni miongoni mwa washabiki wa Simba ambao tulikuwa tunakerwa sana na jinsi Mugalu alivyokuwa anakosa magoli ya wazi awapo mchezoni.
Lakini kwa yale magoli aliyofunga dhidi ya KMC jana ambayo...
Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili...
Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi.
Ila jamaa ni bonge la straika...
Hongera kwa timu ya Simba sports club kwa kujitahidi kufanya vzuri katika mashindano ya kombe la shirikisho.
Hadi wakati huu hatuna mashaka kuwa Simba ndiyo pekee ya Afrika mashariki inayofanya...
Alhan wa sahlan
Ukicheki tathmini ya Mshambuliaji machachari Christiano Mugalu aka (the animal) toka ajiunge na Magwiji wa soka nchini Tanzania, yes naizungumzia Simba de sportive club ukipenda...
Yaani leo Klabu Bingwa na Timu iliyobarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu ambayo kama huishabikii utakuwa na Roho ya Kishetani na Kichawi ya Simba SC imemualika Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Mzee...
Kwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba...
Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii.
Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni...
Huenda Simba SC ikawakosa wachezaji tegemeo, Sadio Kanoute (Box to Box Midfielder) na Joash Onyango (Defender) kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC, kati ya Simba SC dhidi ya...
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirates.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara...
Ni lazima waandaaji wa mechi za soka watambue kwamba , soka ndio mchezo pekee unaounganisha watu wote bila kujali itikadi za kisiasa , Umri , Jinsia , dini , rangi wala makabila yao .
Kuweka...
Wakuu,
Najua Taifa limejaa homa juu ya game ya kesho. Ni kweli ni game ngumu kwa Simba kuliko game zote imecheza hivi karibuni. Pamoja na kazi kubwa ya viongozi na makocha nimeona niandae mambo...
Pambano hili sitaki kuliangalia,
Sijui ni kwanini Manny Pacquiao amekubali kupambana na Terence Bud Crawford.
Pacquiao ni Bondia mwenye heshima kubwa sana kwenye Ulimwenguni wa Masumbwi,
Kwa...