Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana
Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa...
habari za majukumu wanasoka wenzangu.
leo tarehe 20/03/2022 majira ya saa 19:00 tunaenda kushuhudia mechi za raundi ya tano katika kundi D kombe la shirikisho Afrika.
Ambapo msimamo upo kama...
Wakuu, Match ya leo ni saa ngapi Kwa saa za Tanzania? Maana mtandao unaonesha saa 19:00 na TBC Jana walisema unaanza saa 10 za kule ambapo Kwa Tanzania ni saa 11:00 jioni
Je Kuna mwenye Muda sahihi?
Wajuba Coach & player celebrate a winning Results.
.
[emoji851] FOR THE LOVE OF THE GAME [emoji41][emoji460][emoji3544][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana tasnia ya soka ilishangazwa na timu ya Yanga kujiingiza kwenye siasa za vyama. Ninajaribu tu kuwaza nje ya box. Wote tumeshuhudia sakata la Makonda na GSM kutapeliana kiwanja. Je,nitakuwa...
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.
Amebainisha nafasi za wachezaji hao...
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi...
Habari wanabodi
Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya...
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF
Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:
1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4...
Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"
Simba anapokuwa anaongoza...
1. Kwenye mpira wa goal kick hakuna offside. U can't be Offside from a goal kick.
2. Goli halihesabiwi ikiwa mpira ulikuwa hauna upepo (Flat) wakati unapigwa.
3. Mwamuzi anaruhusiwa kukuonesha...
Salaam wakuu,
Mimi sikujua hii mechi ni ya bongo hadi nilipoona bango la Azam.
Je, ni Mechi gani? Goli kipa alificha nini golini?
Huyo anayekimbizwa ni nani? Kwanini anakimbia?
Tangu kurejea kwa xavi pale Barcelona katika mechi 11 hajapoteza game hata moja,kipindi cha nyuma je shida ilikuwa kwa kocha,wachezaji au uongozi wa juu?
Japo ronald koeman kuna kipindi alisema...
Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel...
Namsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.
What a waste HIVI HAYA MAMTU...
Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika...
Karibuni kwa mpambano huu wa kukata na shoka kati ya Simba vs As Vita Club utakaoanza muda mchache kutoka sasa....
Saa 1:00 usiku (Kwa mkapa)
Timu zote mbili zinahitaji matokeo ya ushindi ili...