Wakuu,
Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya uchungu, yaani isiwe kali sana.
Hii ni kweli wataalamu?🥲
Video hii hapa👇
---