JamiiCheck - Tanzania

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

JF Prefixes:

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara kushindwa kuonyesha uimara wa kisiasa na kusimamia masuala ya msingi yanayogusa maisha ya Watanzania. CCM, kupitia misingi yake imara ya kihistoria, kimefanikiwa kuimarisha uchumi, kuleta amani na utulivu, na kuendelea kushika usukani wa maendeleo ya kitaifa. Kwa mfano, katika awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, CCM imeonyesha jinsi ya kuendesha diplomasia madhubuti, kuimarisha miundombinu, na kutoa fursa kwa Watanzania kushiriki...
Zipo imani na madai ya mbalimbali ya kijamii yanayobainisha namna ambavyo mama anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto wake baadhi ya madai hayo ni: 1. Baba na Mama hawapaswi kujamiiana wakati kipindi cha unyonyeshaji kwa sababu kufanya hivyo hupelekea mtoto wao kudhoofika (kumbemendwa). 2. Lazima mama aoge ajioshe na sabuni kwanza baada ya kujamiiana ndipo amnyonyeshe mtoto wake ili asimbemende. 3. Mama akipata ujauzito wakati bado ananyonyesha anaweza kumbemenda mtoto wake. 4. Mzazi akijamiiana nje ya ndoa akishiriki tena tendo na mwanamke wake anayenyonyesha anambemenda mtoto.
Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa zilizo tofautiana kwenye; Cheti cha Kuzaliwa na NIDA/Kitambulisho cha Taifa. Je ni upi uhalisia wa taarifa hii?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…