JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A man got a New Job and a new car, then he decides to go to the village to show his people both the car and the girl he wants to marry, after the visit he and his wife to be left for town, but on...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nadaiwa: Matumiz kwa bi mkubwa.. My fiancee.. Kodi ya nyumba.. michango ya kanisani.. Michango ya harusi... matumizi kwa dogo shule... BADO: Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia... Nitakoma
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanachitchat leo ni karibu siku ya tatu sijamuona pacha wangu. Hivyo kwa heshima na taadhima ninaomba atakayemuona ampeleke kwenye laptop, simu, computer au kwenye tablet yeyote yenye application...
8 Reactions
112 Replies
6K Views
Siku moja mwalimu alikuwa anafundisha hesabu za kirumi mwal:Hizi ndio namba za kirumi kuanzia 1 hadi 1000 ""mumeelewa"" wan:tumeelewa. mara punde mwanafunzi mmoja akanyosha kidole...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa aliyewahi kufanya anyooshe kidole juuuu kila mtu anajua afanyalo awapo kitika eneo hili Wewe huwa unafanyaje 1. Unasafisha kwanza 2. Unapanga tishu 3. Unaenda na gazeti halafu unalitoboa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii kesi iko kati ya mwalimu, wanafunzi na mkuu wa shule.. mkali nani? MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu Mkwawa? MWANAFUNZI 1; Sio mimi MWANAFUNZI 2: Jana sikuja shule MWANAFUNZI 3:Mwalimu kwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Walipewa mchongo kuwa kuna mhindi mmoja anaenda bureau de change kubadili mijihela ya kutosha. Jamaa wakamlia timing, wakiwa na noah yao, vipande vya watu kama watatu hivi mitaa ya kariakoo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Bamba was baptized. The pastor dipped his head into water 3 times and said you are baptized. Your old sins are forgiven, you are a new creation, your new name is Jacob. No more drinking of...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Enjoy!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Vodacom wamerahisisha tena: Sasa unaweza kupima uzito wako kwa kutumia simu yako ya mkononi,cha kufanya bonyeza *15400# kisha simama juu ya simu yako utaona uzito wako kwa kiwango cha kilogramu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa walioenda church leo naomba mnijuze kuhusu injili,maana feni za parokia ya mbezi beach zinavyopuliza nilijikuta nimesikia tu kwa mbali story ya mwanamke aliyeolewa na wanaume saba...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
UKiwa umechagua forum apo mbele kwenye web page,,,kuna tangazo la ndovu special malt la jishindie safari ya selous,,,daaahh kila nikimuona uyo myama tembo,,naikumbuka serikali,,napatwa jazba ..ivi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
mambo zenu.Vipi wenzangu mshawahi kupigana? Ilikuwa lini? Ulipigana na nani? Kwanini ulipigana? Je ulishinda/droo au ulidundwa? Nalog off
1 Reactions
146 Replies
9K Views
Tangazo kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi Wale wote waliosoma miaka ya nyuma na kupata Division 0 wanatakiwa wakachukue vyeti vyao vyenye Division 5. Wizara inaomba radhi Kwa usumbufu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Eti, hivi alietengeneza taa ya chemli na akaunda ile mashine yake ya kupandishia na kushushia utambi kwa muonekano ule aliwaza nini??? Nimejiuliza nimeshndwa nisaidieni jamani!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenyu binafsi.... Mwenzenu mie siku hizi sipati usingizi, hapa yaelekea saa nzima nahesabu matundu ya chandarua, hivi ni kwanini???? Kwanini sipati usingizi kama awali???? Huyo...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Salaam, Kipindi hiki bwana katika mitandao ya kijamii na picha (Instagram) umezuka mtindo wa kina dada kupiga picha kwa mtindo wa 360( unakuta mdada kaweka pozi kadhaa mara kapiga kalio, mara...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Habarini zenu wadau Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi Simuonagi humu Au ana I'd mpya? Aisee kama upo know. That...
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…