JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtu unahonga mpaka roho duuuu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salaam wana wote, Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua. Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.
7 Reactions
204 Replies
10K Views
Jamaa walikua safarin wakapita mbugani m1 akamwambia mwenzie umewaona simba walee? jamaa akajibu alaa!kumbe wale ndo simba?sasa pale kaseja ndo yupi? Wana chit chat mi mwenyewe simjui kaseja eti...
0 Reactions
9 Replies
900 Views
Picha zingine zinaweza kukufanya ucheke public kama mwendawazimu.
1 Reactions
0 Replies
758 Views
........
12 Reactions
14 Replies
2K Views
Baadhi ya wakazi wa jiji wakimuangalia mtu ambaye hakufahamika jina aliyekuwa akitafuta kiatu kilichotumbukia katika mfereji wa majitaka, kama alivyokutwa Ubungo, Dar es Salaam juzi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
yaan hapa mchina hajaona tu, ila tuwe makini coz akijuia tu kuna raia tunanyanyaswa hivi na kuwauzia bunduki hali itakuwaje........... kwa sasa ar ni soko zuri sana la siraha.... hawa policcm...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ili uwe mwema mbele ya mungu na jamii yako jaribu kujiuliza kwanza kabla ya kutenda,ikiwa nitafanya jambo nani atakae pata effect,? Na kama ningefanyiwa mimi ningeumia kiasi gani.
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Jamaa1 alikuwa amekaa KANISANI siti ya mwisho kabisa,ila pembeni yake kulikuwa Kuna demu amekaa•Jamaa akaanza kutongoza dem huku mahubiri yakiendelea~ Mambo yalikuwa hiv= Jamaa=Nakupenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimetoa jibu kwa familia yangu ya karibu No No No! Wananishauri eti nijiunge nalo. Ninanjaa lakini siwezi kwenda kujidharaulisha kiasi hiki. Jeshi limekuwa Condom, jeshi gani hili la majimaji au...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
XXX majuzi alikuwa nyumbani kwao. Katika pita pita akakutana na Mmakonde mmoja aliyekuwa anauza vinyago. Alivutiwa sana na kinyago kimoja kilichokuwa kinafanana na panya. Kilichongwa kwa ustadi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada kila nikivaa naambiwa sijapendeza kwakuwa nina kitambi.nivaeje nitokelezee kifashonista!!
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Embu tujikumbushe kidogo kila mtu aseme mara ya mwisho alipigana lini na chanzo cha ugomvi kilikuwa nin? Mie mara ya mwisho nimepigana 1997 nilivyokuwa std 2.Chanzo cha ugomvi jamaa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kunguru ndege mjanja hafugiki asilani, hata ukimpa chakula hatotulia nyumbani, amezowea mizoga inayotupwa jaani, nilikudhania ndege unaefugika tunduni, nikakupa cheo na taadhima pamoja na...
3 Reactions
6 Replies
7K Views
Mwenzenu nipo rum peke yangu najitishajeeeeee!!!naogopajeeeee!!! Tokea saa 8 natetemeka naona vitu vinatembea tu.
1 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna mzungu mmoja alikuja nchini kikazi,sasa ili japo awe anapiga story na mswahili ikampasa kuanza kujifunza kiswahili. Baada ya mafunzo mafupi akakalili maneno matatu katika...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
mohamed Mtoi ahsante sana hii kumbukumbu haitasahaulika miaka dahali umenizikia dada yangu. YNNAH your special my dia from lushoto to mabawa hii sitaisahau. arabella thanx mamii Mungu...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Baada ya mazishi ya jamaa mmoja huko Shinyanga, mchungaji alisimama akaongea na waumini wake. Mazungumzo yao yalikuwa hivi: Mchungaji: Waumini mnaombwa kutoa michango ili kujenga ukuta (uzio)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mmoja na rafiki yake walikuWa wanasafiri wakapita mbugani JAMAA: Umewaona wale,ndio Simba wale RAFIKI: Hivi kumbe wale ndo Simba ee!!!! Sasa pale KASEJA NDO YUPI?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mdada alkuw na BoyFriend mwngne so ilikutoka home kwake alikokuwa anaishi na mumewe ilibid apange dili.... ucku akacngzia anaumwa tumbo full kulia yan.... mumewe kachanganykiw na kuwasha gari...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…