JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kazi kwenu "masoftware engineer" mnaosahau familia zenu kwa kuendekeza kazi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi Jf members Mlevi mmoja alibatizwa kwa ubatizo wa maji mengi,akazamishwa kwenye maji na kuibuliwa mchungaji akamwambia kuanzia sasa hautaitwa NSURI utaitwa SURI umezaliwa upya...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau wa chugga mko wapi sasa. . .nimekuja sasa.
3 Reactions
81 Replies
4K Views
kuna siku Dr. Lwaitama alikuwa na lecture ya CL pale Nkruma hall, umeme ukakatika, mic ikawa haifanyi kazi, yeye akawa anaendelea kupiga pindi Wanafunzi: Hatusikiiiii!!!!! Lwaitama...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimemuota huyu kimwana muda mfupi uliopita.Ana vitu hadimu sana ktk 6x6.Kiukweli simujui na wala sijawahi kumwambia kama namuhitaji kimapenzi,cha kushangaza muda mfupi uliopita nimemuota tupo...
6 Reactions
226 Replies
11K Views
One Sunday morning, Satan appeared before a small town congregation. Everyone started screaming and running for the front church door, trampling each other in a frantic effort to get away. Soon...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wangapi mnawajua hawa jamaaa Hawa ni masalia watatu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A guy asked a girl in a library; “Do you mind if I sit beside you”? The girl answered with a loud voice; "I DON’T WANT TO SPEND THE NIGHT WITH YOUUU!!!”. All the students in the library...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna wanafunzi wawili walikuwa ni vipanga sana darasani.Siku moja wakati mwalimu anafundisha,wenyewe wakazwa wanapiga story tu bila wasiwsi,mwalimu akwaona,akachukua fimbo akawafata na kuanza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Special thanks kwa wana JF wa Arusha, nimefurahia kuwepo Arusha though muda ulikua ni mfupi nimeenjoy kuwa part ya JF. Special thanks.: Arushaone Filipo Erickb52 na niliowasiliana nao sweetlady...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mlokole mwenye guest alikataa yanki mmoja aliyekuja na mama mtu mzima kupata chumba akisisitiza kuwa guest yake hairuhusu uasherati. Yule mama akaja juu na kumwambia Mlokole kuwa yule...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
jamaa amekaa jikoni na mke wake.. Mke katoka kidogo jamaa akadokoa nyama jikoni, kwa bahati mbaya nyama ikamkwama kooni... Katika harakati za kujiokoa ghafla mke akatoke. Mke akamuuliza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Aaaaah!,nshajua kutofautsha kat ya demu na ndume humu jf 1.mademu hawa2kan direct 2.majina ya mademu n mara nyingi ya kujiproud/mazur c ka ndume.3.harufu ya post za madu ni ya pafyumu c ka ndume...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona kupitia TBC - 1 kwenye maazimisho ya siku ya Mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa Rais wa SMZ Mwanamwema Shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliye tayari anijulishe Sitaki PM, wekeni mambo hadharani. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Madame B, Paloma, charminglady, Nicole, Kaunga, Kipipi, Asnam, Preta, marejesho, Lisa, nivea...
6 Reactions
105 Replies
6K Views
Ole wao serikali inayozuia madanguro. Kwa maana tukiwalia wake zao yasijirudie ya nguza na wanawe.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
mlevi na mchungaji walikutana ndani ya daladala, sasa mchungaji hakupendezwa na kitendo cha yula mlev kulewa ndani ya daladala akaamua kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikua hivi:mchungaji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba aliona mkwe amepunguza mapenzi kwake, ni baada ya mke wake kujifungua mtoto ,bac akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye maziwa ili mtoto akinyonya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu jogoo nilimkuta tandale kwa tumbo akiwa anaugulia ugonjwa wa chekelea Hahahaaaaa wadada tumesomana naju
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ZUZU; Unajuwa zumbukuku dhambi zingekuwa amna sema daaa adam na eva ndio wametuponza ZUMBUKUKU;kwann leo umewaza hivyo?? ZUZU;Adam na Eva wangekuwa wachina,dhambi isinge kuwepo ,kwan wangemla...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…