JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ujana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
13 Reactions
62 Replies
678 Views
Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama 1. TO YEYE 2. KICHWA KICHAFU 3. FAIZA FOX 4. SKY ECLAT 4. MPWAYUNGU 5. WA STENDI Jamani, watu Hawa mko...
3 Reactions
22 Replies
869 Views
Mke wako atakula nini akirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
16 Reactions
54 Replies
669 Views
siku ukiwa makaburini usije kamwe kanyanga juu ya kaburi Jingine Why sababu biashara zako zitakufa
2 Reactions
13 Replies
194 Views
Eti kuna dem hanitaki ila namsumbua pm 🤣 ebu ajitokeze kwa maringo nimwone hapa Seran Chukua notes🤣
18 Reactions
111 Replies
1K Views
Duuh Usiku, nimeoga na kusali na kujiandaa kupanda kitandani nikateleza na kuanguka kwa maumivu makali nikajikongoja mpaka kitandani, katika kuugulia nikagundua nimepasuka kichwani na damu...
9 Reactions
41 Replies
573 Views
Tar 1/08/1986 nilizaliwa Ninafuraha kubwa kusherekea siku yangu ya kuzaliwa huku nikifurahia upendo wa Mungu juu ya maisha yangu. Nichukue nafasi hii kuwashukru moderators wa jukwaa hili kwa...
5 Reactions
43 Replies
331 Views
Ukija na akili yako ya kiyumbu humu unakalishwa kilaini sana 🤣 Humu unatakiwa ukae kiaskari , hakuna fala ila mafala wapo ila wakielewa game wana badilika haraka. Humu kuna wasomi, matajiri...
12 Reactions
89 Replies
712 Views
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa...
25 Reactions
204 Replies
2K Views
TBT
Wapendwa habari zenu. Leo nimeona niwaletee vi story vyangu na vitakuwa vinapatikana humu kwa mtindo wa picha za zamani na matukio yake..... 1. story namba moja Hapo chini nakumbuka ilikuwa...
62 Reactions
826 Replies
12K Views
Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk...
16 Reactions
47 Replies
3K Views
Guys am back... Better than who I was... Ni mimi de Gunner. Tafadhari Moderator rudisheni jina langu la de Gunner Maisha ya ban mabaya sana, it's not worth it. Najua humu kuna anonymous IDs...
10 Reactions
344 Replies
3K Views
Kubabeki Kudadeki Kudadadeki Haya maneno yana maana gani wakuu?
2 Reactions
12 Replies
305 Views
Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua...
54 Reactions
3K Replies
270K Views
Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, tafadhali usimwambie Akili Kichwani
6 Reactions
76 Replies
1K Views
Dunia yote inaamini, wana JF wote ni wastaarabu. Je, wewe ni mstaarabu? Kama ni ndio, tuonyeshe huo ustaarabu wako.
5 Reactions
51 Replies
429 Views
Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri. Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa...
2 Reactions
17 Replies
245 Views
Ni dada ambaye lazima apeane na like kwa kila post hapa JF.anaonekana n asiye na ubaya na yeyote. Kama hajapita na like kwenye post yako itabidi......????
6 Reactions
32 Replies
353 Views
Nimerejea baada ya kupotea kwa mda mrefu.nimewamiss sana wadau.
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Day 2: Karibuni tena wataalamu wa jiografia. Leo ni raundi ya pili ya Club Mate’s Geography Quiz. Leaderboard: 1. Al Watani - 8pts Taja nchi sahihi kwenye categories zinazofuata. Kila jibu 1...
1 Reactions
5 Replies
114 Views
Back
Top Bottom