Imagine mtu amekuomba umtumie pesa. Wakati huo huna au unayo ila ilikuwa na kazi nyingine, utajiminya au utahangaika mpaka umtumie, lakini ikifika yeye hafanyi hata effort ya kukujulisha kwamba...
Choo cha shule yetu kilikuwa na sifa ya majini, ukianza shule tu unaambiwa na wanafunzi wenzio uliowakuta kule chooni kuna majini, hutakiwi kwenda mchana wa jua kali peke yako, ukienda...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha?
Naanza:
Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu...
This country is purely swahili.many Tanzanians they understand swahili more than their own local language.i could suggest that the country was suppossed to be called swahililand.
Ukiweka imani pombe inamaliza pesa na kweli itaisha .....
Ukiweka imani pombe inakufnya ufanye mambo ya kijinga ni kweli itafanya....
Ukiweka imani pombe inakupa akili ya kutafuta pesa na...
Good morning Wakuu,
Hivi pesa za kuokota ziliendaga wapi sikuizi? ni muda sijaokota
"Some of you will be coming into unexpected money! Receive! It will be more than you asked God for Sis! Over...
Mimi nikipita sehemu lazima watu watashtuka kidogo, na huwezi niangalia mara moja, utageuka tu mara ya pili, wote wanaume na wanawake. mwanzoni nilikua nashtukia lakini baada ya kujua ni...
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
Habari za muda huu wana jamiiforums,
Okay tuanze, mara nyingi tunafikiri "raha" inatokana na vitu vikubwa tu kama pesa au mapenzi. Lakini kisayansi, ubongo wetu unazalisha kemikali za furaha...
Habari wakuu,
Hivi kwanini watu wanaovaaga hizi kofia ni watu wa kuwa nao makini hasa wanapokuhusisha kwenye dili la hela maana usiposhtuka mapema utalia
Ni sifa gani unayoifahamu kwa wanaovaa...
Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗
Wallah nilipigwa kiboya Sana!
Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea...
Picha linaanza nimepiga pesa kwenye mishe mishe zangu😅😅
Halafu leo simba inanipa raha ya kutisha na pira tamu mno🤣
Hizi baraka sijui kwa nini hawapewi wengine ni mimi tu ,mpinga Kristo 😁...
Wanajamii wenzangu!
Ni kweli, Mwanadamu awe Mwanaume au Mwanamke mpaka anakuwa mtu mzima anapitia mambo mengi sana kwenye mahusiano.
Pamoja na kuumizwa kuna wale ambao pia umewaumiza...
Siku imeenda uzuri kabisa..... Mara ghafla akaniuliza kwamba eti ikitokea amenitangulia, nitamzika na nini?
Mimi nikamjibu simple na jibu lipo wazi kabisa kwamba......
Nitamzika na fire...