Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba...
Habari wana zengo wakubwa kwa wadogo, hatimae nimerejea tena nilikuwa nimepigwa PIN akaunti yangu inagoma kuingia JamiiForums nikaenda ujinini sasa nimerudi na mambo mapya na makubwa na hatimaye...
Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
Baada ya kukosekana kwa muda mrefu uzi wa kututetea sisi wavuta sigara, sasa rasmi huu ni uzi wetu sasa, tujimwaye mwaye, tubadilishane uzoefu.
Ulianza vipi kuwa mvutaji wa sigara?
Karibuni wazee...
Habari JF-members!
duuh!, sijui shida ndio kutofika shule au uvivu wa kufikilia. Naombeni majibu nimeshidwa kuandika kwa maneno 11000 Na 10001, Naona kama vyote vinafanana.
Habari za leo jf-members.....
naombeni majibu yenu,
Mwalimu aliuliza swali "laiti kesho ingekuwa jana basi leo ingekuwa ijumaa " je, mwalimu aliuliza swali siku gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.