JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Poleni na maumivu ya tozo. Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Salaam. Wadau naomba msaada wa tatizo hilo. Gari langu ni Suzuki Escudo 2002, kila mara nachonga hiyo metal bush ambayo iko mguu wa kulia wa mbele kwenye HUB but ndani ya week moja inaanza kuisha...
2 Reactions
3 Replies
577 Views
Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu zanguni naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi karibuni. KWA KUANZIA NA AIR COMPRESSOR yenye ubora hasa ni ipi ? 1. Vigezo vyake kuanzia ujazo na hp yake...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau. Ebu tupeane ushauri ni aina gari ya gari ambayo nikiwa nayo nitavimba hapa mjini?
3 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari wana jamvi, natumaini mko poa ni hivi jamani Nimefanikiwa kuuza gari yangu aina ya Brevis kwa gharama ya Tsh 8M nikajishanga na mimi now nina kama 14M sasa hapa nachoice ya gari izi tatu...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari wana jf, nimewaletea shortlist ya kampuni za magari makubwa, mabasi pia magari madogo, sports cars, SUV, na grand cars. Tujuze je ni gari toka kampun Gan unapenda
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari gani wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi sana huku kwenye jukwaa la JF garage, moja ya mada inayotajwa mara kwa mara ni magari pasua kichwa...
2 Reactions
130 Replies
30K Views
Hivi engine Oil, Diezel/Petrol ukiachilia mbali milage, Ina Expiry date?
1 Reactions
9 Replies
852 Views
Haya wasaka tonge!! Salaama wanajamvi, napenda kushare nanyini jambo moja ambalo laweza okoa mtu mmoja sehemu dhidi ya utapelo hii mpya mtandanoni. Pana jamaa wanajifanya kutangaza kuuza magari...
7 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari za kazi wadau naomba kujua chochote juu ya hii gari hasa model ya kuanzia 2004 yenye 3ZZ , hasa kuhusu Uimara wake na mapungufu yake na kwa nn kwa Tanzania hazipo kwa wingi na hali bei yake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau naomba kufahamishwa.Haya magari nayapenda mno.Kuna moja nimeiona kwenye site ya Befoward ina taarifa zifuatazo Year of manufacturer: 1998 Engine: 3378cc Location: Japan Price:$2,732/_...
3 Reactions
38 Replies
14K Views
Habari wakuu Nahitaji kununua pikpiki aina ya TVS 125 kwa matumizi yangu binafsi. Anaejua bei yake kwa sasa anijuze tafadhali.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada Nitaitambuaje gari amabyo haijawai rudiwa rangi?
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hii ni kwa Mujibu wa BeFoward! Toyota ndio Brand pendwa kwetu watanzania!
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nina Crown athletic ya mwaka 2006. Hivi karibuni nimebadilisha steering rack yote pamoja na mkanda wa steering baada ya ile ya kwanza kukatika. Baada ya kubadilisha na kuweka nyingine Steering...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za jioni wataalam. Msaada wa ushauri, kuna budget ya 15M nahitaji toyota ya kuzugia mjini, napendelea sana toyota premio isiyozidi 1500cc , je ni nzuri au unashauri nichukue aina gani? Je...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu matumaini ni wazima naomba kujua ipi gari nzuri kati ya Subaru Forester ya mwaka 2009 na bmw x3 ya mwaka 2009 kwenye comfability fuel efficiency durability vipuli na nk Sent from my Infinix...
4 Reactions
45 Replies
10K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaejua, unapoosha sehemu ya mbele ya injini,ni vitu gani havitakiwi kuloweshwa na maji,,msaada please mi najua tu alternator. Gari yangu ni Toyota Noah.
3 Reactions
7 Replies
731 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…