Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo.
Nawasilisha
Edit: Moderator naomba edit Hyundai sio KIA.
Katika kuzurura mitandaoni nikaonana na Hyundai i40 ya mwaka 2015.
Hyundai nimeziona ona Tanzania so sikua na wasiwasi kuhusu mafundi na spare...
Naomba kuuliza maswali haya kwa wenye uzoefu wa magari.
1.Tyre ukiichukua mpya ukaifunga ukaitembelea au hata upaki gari yako uani inatakiwa idumu miaka mingapi ndio ubadili?Hata kama kashata zipo...
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari lako).......Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka...
Wakuu kuna habari naomba ufafanuzi,huwa natumia castor oil kwenye gari yangu ndogo Toyota Isis ila kuna fundi anasema hiyo oil ni maalum kwa magari yenye turbo haifai kwa gari yangu na akaniambia...
Wakuu salam zenu,
Kwanza niwashukuru kwa kuniongoza na kunipa elimu kwenye kuimport gari nilifanikiwa kupitia enhance auto. Good news na expect mwezi huu itakua ishawasili kwa bandari.
Sasa...
Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars.
Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa...
Ndugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya...
Chuma hiki
Hyundai Azera 2017-2021
Nina matarajio within 5-7 years kua na usafiri huu wa chuma hiki hyundai azera
Baada ya kuifuatilia nimeona machache kwa wadau kama haya hapa
Kwanza ni sport...
Habari wakuu poleni na kazi,
Hivi ni sahihi kuosha eneo la engine la gari kama inavyoonesha pichani?
Maana hiyo gari ilikuwa inaoshwa ili sehemu ya engine ionekane inag'aa.
Lengo ni kuuzwa ili...
Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna...
Ukiitaja tu Toyota Brevis kila mtu atakwambia hill ni jini. Linakunywa mafuta mengi, vipuri vyake bei juu na havipatikani kwa urahisi. Atakushauri ununue IST au magari mengine madogo.
Sasa naomba...
Habari wakuu.Mwenye ujuzi na hizi gari mazda demio katika ulaji wa mafuta,maintanance,spare zake na uimara wake tafadhali anijuze kabla ya kununua.
Ahsanteni.
Mazda Demio
Nimepata mashaka makubwa sana baada ya kutizama hizo kilometre na usajili wa gari yaani gari imesajiliwa muda mrefu lakin imetembea km chache sana nika muuliza kulikoni gari inausajili wa BAC wa...