Wakuu natafuta amrest box ya toyota Isis, kimsingi hii gari haiji nayo ila nimefuatilia zinapatikana china kwenye online market shida ni shipping cost iko juu sana.
Habari ya jioni wanabodi? Ni matumaini yangu nyote mu wazima wa afya njema.
Naombeni msaada, tatizo langu gari yangu inameza oil isivyo kawaida.
Yani kwa mfano nimeweka oil jumanne ya wiki...
Heri ya Mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,
Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza...
Engine ya Nissan:
Code: QG18
Gearbox yake:
Code:N16
Applications:
Nissan Almera, Nissan Sentra, Nissan Sunny, Nissan Bluebird/Sylphy
Mwenye clue na bei ya engine ndogo za Nissan, hio engine...
Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road.
Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili...
Habar wana jf,
Nataka kununua simu ya samsung mwaka huu ila hisiwe chini ya ram gb4 na internal storage gb64 ila iwe nzur kimuonekano na bei hisizidi 500k naombeni mnishauri kwa kunitumia picha...
Wakuu habari ya hapa jukwaani.
Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari, mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika...
Ndugu wana habarini, inawezekana body ya Honda CRV third Generation ( Hiyo Red) kuivisha kwenye Honda CRV First Generation ( RD1)( Hiyo White)?
Kwa upande wa dimensions: Height (Kimo) zipo sawa...
Nataka kuagiza Engine mpya ya Scania 113 Pamoja na ya Toyota Cruiser. Wadau mnaojua wapi wanashughulika na hii issue ikiwezekana mnijuze na bei kabisa.
Uzi tayari
Wakuu habari za majukumu huko mlipo.
Kama ilivyo kawaida kupeana elimu juu ya vyombo mbalimbali vya usafiri hapa JF na kweli na kiri kujifunza mambo mengi sana hapa JF.
Sasa wakuu miezi kadhaa...
kama upo dar unaweza nipatia gari aina ya Toyota Iwe Imeundwa Mwaka 2007 na kuendelea. Isiwe tu Passo. ila aina nyingine za Toyota Kuanzia CC 1000 - 2000. namba iwe C au D. Rangi sijachugui. isiwe...
Wadau na wanajf naombeni msaada hasa kwa wataalamu wa magari katika matumizi,uimara na ubora kwa magari ya vokswageni kama bora,passat, polo ambayo kwayo yamekuwa yakitangazwa kwenye mitandao ya...
Natanguliza salamu ,
Nataka kufahamu swala fulani hususan kwa hizi ndege zenye engine za propeller .kama Cessna ,pilatus 12 n.k. Je, hizi ndege zinapokuwa zinaruka angani futi kadhaa mlio wa...
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa magari ya Toyota na Nissan kwa hapa Tanzania. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa kuteka soko la magari kwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa. Kama kichwa kinavyojieleza...
Habari Wakuu, nataka niweke back camera kwenye ndinga, naomba kujua fundi wanapatikana wapi kwa Dar es Salaam , na bei ya kuinstall hiyo kitu ni kiasi gani nijipange.