JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habarini swali langu kwenu wakuu kuna gari (basi) inatatizo mmoja, wakati upo bararbarani inafanya resii kwa mida tena hapo unakuwa huwezi kuikantrol kwa jambo lolote. mpaka iyachie wenyewe, na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
ipo kwenye yali nzuri,full ac. ni pajero io 1999 inauzwa kwa sh. mil 6.5 . mwenye uhitaji ani pm. inapatikana dar es salaam kwa yeyote atakayetaka kuiona
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nimepita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii ajali aliopata mkurugenzi wa halmashauri ya tarime Leo maeneo ya ikungi singida, dereva pamoja na afisa maendeleo wamefariki...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Tusaidizane kutunza Roho zetu, Maisha yetu, tuombeane heri na mema katika Matumizi ya Vyombo vya moto, leo tuzungumzie "Gari". Pata Elimu ya Mambo 10 ya Kuzingatia Kabla na Wakati wa Kuendesha...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji ufafanuzi kidogo kuhusu hivi vibao vya speed barabarani.Mfano umeshamaliza kibao cha speed 50 baada ya hapo unatakiwa utembee na speed ngapi (Gari ndogo) maana mabasi najua yana...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
madereva wa siku hizi wamekua wakuda sana yani hadi kero. Ngoja kwanza tutambue ukuda ni upi. 1. Upo barabara kuu hamna matuta wala kizuizi chochote lakini wewe unaamua kuendesha 30 kmph (sio...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau mambo ni vp? kuna hii kitu inaandikwa CVT SPORT katika magari baadhi, naomba kujuzwa ni nn? kazi yake nn? inatakiwa kutumika wap?
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wakuu, heri ya mwaka mpya. Kwa leo nataka niyajue kiundani haya magari. Mama watoto kalazimishwa ni lazima achukue moja kwa mkopo huko kazini kwake kutokana na nature ya KAZI yakeke na nafasi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Na hawaishii tu kuyapeleka Gereji Bubu huko Kutengenezwa bali hata wakiwa huko hupenda Kujificha ili wasionekane. Ni kwanini wanakuwa hivi?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujua kama kichwa cha haabri kinavojieleza, pia kama unayo tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada, Nimekuja na gari car wash wameiosha pamoja na engine cha kushangaza wakati nataka kutoka haiwaki. Msaada tafadhali
2 Reactions
10 Replies
5K Views
[emoji828]️Unawezaje kukumbuka sehemu uliyo-pack gari au kifaa chako kwa kutumia Google Assistant Hakuna kitu kibaya kama kusahau sehemu uliyo-pack gari/kifaa chako lakini kwa bahati nzuri kama...
9 Reactions
47 Replies
6K Views
Mafundi au yoyote mwenye utaalam na hizi gari zetu ndogo naomba kujua oil nzuri ya kutumia kwenye engine.... Mara nyingi huwa natumia hii hapa vip ni nzuri hii.
4 Reactions
42 Replies
10K Views
Wakuu naomba msaada, Garage ipi nzuri inafaa kufanyia engine overall Nissan Civilian kwa hapa Dar?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wadau me cjawahi kumiliki gari ila nafatilia sn magari, kuna hii aina ya Toyota vista, zipo chache sana barabarani ni gari nzuri yenye space, cc 1990, custom ndani, muonekano mzuri., ila...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Wakuu nahitaji kuongeza seat za gari tajwa hapo juu siwe sita au 7 kwa ajili ya watoto kukaa Mana ninafamilia kubwa wapi naweza mapata mafundi was kufanya hyo kaz kwa dar.gari Subaru Forester ya...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello naweza pata natafuta nonturbo engine ya subaru legacybsport Ej 20 yenye puli moja kulia moja kushoto.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Natanguliza Pole kwa wahanga wa Ajali ya Treni uko dodoma! Kwa wenye uelewa naomba afafanue mtu sio kiziwi ila tu anaUpungufu wa kusikia kwa kiasi flani mtu uyu anaweza kukidhi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya #2021 Napendezwa sana na magari ya SUZUKI jinsi yalivyo kimuonekano, zaidi yanaonekana ni imara na yanaendana na Mazingira magumu japo sijawahi endesha gari za Suzuki. Kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…