Habari zenu wakuu
Kumiliki gari Tanzania inabidi ujipange na uwe una biashara inayokuingizia pesa ya uhakika au mshahara mnono but kama unajua haupo vizuri sana basi tarajia kukutana na mambo...
Habari,
Naomba kujua nasikia gesi kama mafut katika gari ni Bora zaid kuliko petrol/ diesel(mafuta).
Je, kuna uzuri wa hii kitu haina madhara?
Kiuchumi na kiusalama?
Msaad wadau.
Wakuu,kama kuna yeyote anaitumia hii Surf yenye ingine code 2TR - FE,naomba taarifa zake kwa ujumla!uwezo wake,uzur na ubaya wake,offroading,utumiaji wa mafuta etc
Natumia gari langu dogo Toyota rav4 lakin limeanza kula mafuta vibaya, naitaji ushauri wa kiufundi kwani nalipenda sana gari langu, nicheze na mfumo gani ili iwe inakula vizuri, gari lenyewe lina...
habari zenu wakuu!
nimekuwa nikifuatilia mjadala wa tofauti kati ya unleaded petrol na super/premium unleaded petrol nikagundua super unleaded ni nzuri kutumia kwa gari yoyote huku ikiwa na faida...
Habari wana jamvi,
Naomba kufahamu gari aina ya toyota passo. Kama mnavojua hali ya sasa ni vyema kuwa na gari za kwenda na hali zetu
Naitaji kununua passo lakini sifahau uimara wake Maana...
Niliona Matangazo yao kuhusiana na mafuta yenye kemikali ya Excellium.wakisema kuwa ni mafuta ambayo yanasafisha engine na kuifanya gari iwe nyepesi. lakini zaidi zaidi wamekuwa wakisema kuwa...
Wakuu hii gari nimeenda nayo mkoani, muda wa kurudi ikaanza kuvuta upande wa kushoto.
Last week kuna garage nilipeleka nikakutana na fundi mbabaishaji sijapata ona, kifupi ni kwamba tatizo...
Wandugu habari, naombeni mnipe ushauri juu ya hayo magari apo juu kabla sjanunua. ushauri wenu nautegemea sana katika kutafuta gari ya kuazia maisha yaani gari yangu ya kwanza. Hata kama kuna...
Habari ya muda huu wadau, gari yangu aina ya subaru legacy manual transmission inahitaji kubadilishwa clutch master cylinder, kwa wale wajuzi hii kitu naweza kuipata kwa bei gani?
Natanguliza...
Habarini Wanajamvi.
Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na engine wanasema hawapo...
habari za weekend
Wataalam wa magari, na wazoefu wa matumizi ya magari, naomba ushauri, nimeona gari ya ubalozi inauzwa aina ya vitz new model, CC 1290. ya 2007. Imeingia nchini 2014.
Mimi...
Gari yangu aina ya Altezza, ilikata timing belt, hii ilipelekea kupindisha Valve za exhaust
Please kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia kuzipata. Natafuta 4 tu.
Aina ya injini ni 3S-Yamaha. 4...
Habari zenu.
Kwa dunia inavosonga mbele, siku izi tunashuhudia uwepo wa honda zinazotumia umeme zikiwepo nchini kwetu Tanzania. Na magari pia yapo yanayotumia umeme.
Mimi ningependa kujua kuhusu...
WanaJamii mko poa?
Leo nimeona niwajuze kidogo kuhusu hii mitambo, automatic gearbox. Kwanza gearbox ni nini? Gearbox in mashine ya kubadilisha(kupunguza ua kuongeza) nguvu inayohitajika kufanya...