Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango...
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu.
Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo.
Mfano...
Wakuu heshima kwenu
Tatizo la steering kukaza baada ya taa za power steering kuwaka limekuwa la kujirudi sana kwenye gar yang.
wale jamaa wa kupima walipima wakaona kuna fault kwnye wire...
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.
Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger
Zote...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kungia kwny mitandao na kununua gari, kwasababu ni rahisi sana siku izi, lakin ni watu wachache sana wanauelewa kuhusu magari wanayonunua
List inayofwata ni magari...
Naona post zake Insta akitoa maelezo kuhusu service za magari,anatoa darasa zuri sana kupitia video clip zake,hasa kwenye kuibiwa masega anayemfahamu kwa undani pliz ni fundi mzuri kwa vitendo au...
Wakuu Salama.
Hivi karibu nilinunua Gari aina ya Toyota Vanguard. Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo spare tyre inakaa/inawekwa nimeshindwa kabisa. Nilipo wasiliana na SBT Japan/Tanzania...
Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.
Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini...
Mwanzo mgumu but interesting fact ni kuwa Learners Tuna discipline ya juu na kufuata sheria za barabarani tena kama sisi tuliojifunza kuendesha gari tukiwa over 30 years old tuko extra care Kila...
Naombeni Msaada wenu wadau,
Nataka kununua Gari mojawapo kati ya hizi mbili RAV4 na Vanguard ya mwaka 2010. Kwa mtazamo wangu naona kama haya magari yamefanana kwa kila kitu, sasa basi mwenye...
Wakuu,
Title yajieleza.
Nahitaji ObdII Scanner ambayo ni more portable na simple kutumia for personal use.
Targeted vehicles ni Japanese, i.e Kluger, Raum, Ist, Premio, Wish, Harrier, etc...
Kama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic...
Huawei wakiwa wameungana na JAC wamezindua gari yao ya kwanza inayoenda kwa model name Maextro, ikiwa na lengo la kushindana na Maybach na Rolls.
Kuhusu bei, itauzwa kuanzia $140,000 tu, na ndio...
Haka kagari VW Polo 2007 nimekakubali sana sana kwanza cc 1300, millage 34k/km speed 220km/h pia kodi yake TRA(TRA CALCULATOR) ipo chini around 5m
Naombeni ushauri hukusu changamoto za hii gari...
Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo.
Ni kuhusu zile herufi...
Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae...
Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu.
Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni...