Wakuu Bila Shaka Mtakuwa Mnaendelea Vyema Na Mchakato Wa Kusukuma Gurudumu La Maisha. Kwa Upande Wangu Namshukuru Mwenyezi Mungu Naendelea Vizuri Kabisa.
Uzi Huu Nimeuleta Kuhitaji Ufafanuzi...
Msaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kidogo, pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi.
Habari za Mihangaiko wandugu,
Nimekuwa nikisikia shuhuda mbalimbali toka kwa watu kuhusu Bima Kubwa ya Gari ila nimeshindwa kupata muunganikano mzuri wa faida na hasara za Hii Bima.
Je, ni kweli...
Habari wanajamvi, naomba ushauri na maelezo juu ya gari tajwa hapo juu (Toyota Sienta) ..... changamoto zake, uzuri, ulaji wa mafuta na maelezo yoyote juu ya hii gari. Asanteni
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu.
Naomba kupata msaada wa kufafanuliwa kiufundi changamoto za starlet carat maake naitaji kuifufua kutoka kwa jamaa angu kaitelekeza kitambo ingawa...
Naomba kufahamu ni sehemu gani Arusha naweza kupata Oil Seal ya Clean Shaft ya Subaru Forester New model ya mwaka 2009.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuhangaika na Noah voxy ambalo kwa muonekano wa nje linaonekana jipya (pamba) au wanasemaga in mint condition ila ilitaka kunifirisi.
Jamaa wamenipatia mil 6.5 inanitosha kabisa maana...
Wakuu nlikuwa naomba kujuzwa huu mfumo wakutumia Comp kutatulia matatizo ya Magari yetu haya ya Kijapan.
Je, wapi naweza pata training fupi nzuri na safi na pia kuingia mtaani kusaka ugali?
Na...
inakuaje wazee.nina shughuli ya ujenzi hivyo nataka kununua tipper Isuzu direct injection kwa ajili ya kubeba mawe, mchanga, tofali, cement mbao na bati.Pia nina mpango wa kuikodisha kwa shughuli...
Wakuu kwema
Nataka kuvuta mchuma kati ya Subaru Impreza na ist naombeni ushauli wenu juu ya hayo magari ili nifanye chaguzi sahihi.
Subaru Impreza
Toyota IST
wanajamvi nataka kununua toyota noah old model, ambayo ni used ,kwenye kupatana mtandaoni, kwa ajili ya ruti za hapahapa mjini,na weekend naenda beach na familia, nasikia kuna old model za aina...
Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare...
ALLEV vsRUN X
HIMO vs COASTER
VAUGUARD vs RAV4
Baadhi ya magani ya Mjapan yanatumia injini aina moja kwa magari tofauti
Mfano injini ya 1G FE unaikuta kwenye:-
GX100
GX110
VEROSA
ALTEZA
Habari wakuu,
Kwa wenye uzoefu wa magari naomba mnisaidie, nina bajeti ya shilingi milioni sita na ninafikiria kununua gari ya Suzuki kei. Nimechukua uamuzi huu kwa sababu kwa sasa ninafanya...
Tunajua ili gari ifanye kazi vema na ihimili mwendo ni razima kuwe na difu madhubuti. Naomba msaada kujua tofauti ya difu ya kawaida na difu yenye reduction
Salam ndugu wana bodi.
Imekuwa ni kawaida yetu sisi Watanzania tulio wengi kununua gari jipya na kutumia kwa zaidi ya miaka 2.
Sisi kama waagizaji wa magari kutoka nje tumeshuhudia wamiliki...