JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hili jambo huwa linanichanganya sana. Tuchukulie una Scenario 2 za Model Moja lets say BMW M50d na BMW x40i. Scenario 1: Una gari ya Petrol ina 400HP na 300 lb/ft Torque. Scenario 2: Una gari ya...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu habari? Naweza kupata elimu ya ufahamu kuhusu hii gari inaitwa Nissan Dualis
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Tuitazame hii ni SUBARU forester wengi wanaijua kama gari za vijana ila sasa mawazo hayo naona yameanza kupotea baada ya kuja hii Forester ya 2007 na kuendelea mwanzo zilikuwa bei juu sana ila...
6 Reactions
74 Replies
22K Views
Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wana wema wa MUNGU, ninahitaji kununua kati ya Spacio au IST second generation (almaarufu new model) kwa ajili ya mizunguko ya kawaida ya kwenda kwenye shughuli zangu ambazo ni takriban km tisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu! Kwa kipato hicho tajwa hapo juu, ni gari aina gani itanifaa na nitaweza kuimudu kwa pesa niipatayo cash kwa mwezi? ~Passo siitaki ~Gx100 siitaki. ~porte siitaki ~stalet siitaki...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Naomba mwenye kujua ni gari gani kali yenye sifa hizi naweza pata kwa pesa hiyo? 1. Muonekano (iwe na mvuto kwa macho) 2. Economy (ulaji wa mafuta) 3. Space (iwe na nafasi) 4. Yakuendeshwa na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wapendwa Nina milioni 12, ila nashindwa kufanya maamuzi, ninunue aina ipi ya gari na rangi ipi nzuri, wenye uzoefu mnaojua ambalo halili mafuta na siyo la kuchoka haraka. Asanteni.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi nina pikipiki yangu Boxer 150, naitumia matumizi binafsi imebadili muungurumo na kupoteza nguvu. Shida Itakua kitu gani? Kwa anaejua tafadhali kwenye injini
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza ni duka gani Kariakoo naweza kupata katoni ya puti za magari kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaam wanajukwa, Naomba mwenye uzoefu na Gari aina ya Tata Vista naomba anipe ufafanuzi juu ya Uimara, upatikanaji wa spare, udhaifu wake. NB: Hii gari ni manual.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marine Salvage ni kitendo cha uokoaji meli na mizigo endapo meli inataka kuzama, imepata hitilafu kwenye hali mbaya ya hewa baharini, meli imekwama au kupatwa na janga lolote. Kwanini inafanyika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba ushauri kati ya Toyota Estima na na Toyota Platz ipi gari ya nzuri ,imara kidogo kwa kununua? Toyota Estima Toyota Platz
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Wadau naomba kuuliza, sijawahi kuendesha gari automatic ila leo nimekutana na tukio la kuogopesha sana kiasi cha kuja omba ushauri. Gari automatic ikizima ghafla inapoteza uwezo wa brakes na...
5 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakuu Kwema, Nataka Kununua Gari. Naombeni Ushauri Kati hizi Gari which is the best of all in term of Fuel Consumption, Durability as per our roads environment i.e Rough roads, and Price...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wadau! Naomba kuuliza ni kwa namna gani naweza jua engine oil inatakiwa kwenda umbali gani kabla ya kubadilishwa? Mfano hii hapa pichani.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Jettisoning ni kitendo cha hiari cha kutupa mizigo baharini wakati meli inaendelea na safari ili kutoathiri usalama wa meli na wafanyakazi endapo kuna hali mbaya baharini na kuweka sasa stability...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, lengo kubwa la huu Uzi nikujulisha walipo mafundi wa kufanya services na kutengeneza magari hasa brand tajwa apo BMW na AUDI pindi technical problems. Brand tajwa apo juu, ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu? Hopefully kila mtu anatumia nafasi yake kujikinga na COVID19. Gari yangu ni Toyota Vitz ya mwaka 2004 yenye 1290 CC. Juzi nikiwa katika mizunguko yangu ilinionesha taa...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Nahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda).
3 Reactions
80 Replies
56K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…