Kluger V
Harrier
Wakuu, nimejipanga kwa muda wa kutosha na sasa naona naweza kujipatia usafiri wangu wa kueleweka. Kuna gari hizi mbili zote nazipenda sana. Naomba kushauriwa na wenye uzoefu na...
{Tafsiri nyepesi}
"Autopilot" ni mfumo unaoruhusu chombo cha moto kama ndege, meli, gari n .k kujiongoza yenyewe pasipo mwendeshaji kugusa kitu.
Kwa upande wa usafiri wa anga zipo baadhi ya...
Habari wataalamu,
Kuna jamaa yangu ana verosa, tatizo la gari hii Ni kuwa inatoa mlio mbaya kwenye injini. Ukiwasha kwa mara ya kwanza, let say asubuhi inakuwa na muungurumo mkubwa sana, baada ya...
Habari zenu wana ndugu, kwa muda sasa nimekuwa na idea ya kutengeneza Aircraft sasa hapa nimepata dola 785,000 katika biashara zangu sasa nataka nikamilishe hii idea sasa ninaomba ufafanuzi kuhusu...
Habari wanaJF,
Naomba kujua kuna faida ipi na hasara ipi ukitoa thermostat kwenye gari yako hasa ikiwa iko maeneo ya Pwani. Maana kuna fundi alinishauri nitoe kutoka na hali ya joto kwa mikoa ya...
Habari wakuu, kuna ndugu yangu anatafuta Subaru forester au impreza (manual) ya 6mil. Ambayo iko na condition nzuri. Good service history.
Kama uko nayo au unamjua alienayo, tuwasiliane.
Asante
Hii ni koti la kujiokoa (Life jacket/ Life vest) ambalo mfumo wake ni tofauti na life jacket nyingine.
Hili lina umbo la kawaida na mtu akivaa huwa kama mikanda ya reflector.
Lina kuwa na vyumba...
Habari zenu wadau.
Nimekuja hapa tupeane ushauri na experience za kweli na sio mawazo ya ramli juu ya hii gari.
Mimi binafsi nimeipenda na natamani kufanya mchakato wa kuiagiza nipate yangu. Hii...
Habari Wakuu,
Leo nimekuja hapa na ishu moja. Katika harakati zangu za kujichanga nategemea kupata kahela kidogo kama 9 - 10 m hivi.
Sasa nimeona sio mbaya kama nikawa na kausafiri kangu...
Habarini wadau, katikapitapita zangu nimekutana na hii bidhaa kama ionekanavyo pichani. Inaotwa injector cleaner. Zipo za diesel engines na petrol.
Je ni kweli hizi injector cleaner zinasafisha...
Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
Wakuu! bila shaka mambo yako sawa! naombeni msaada ni Injini gani naweza kufunga kwenye VW Passat ya Mwaka 2002 na ikafanya Kazi vizuri?
Hii gari kwa sasa inatumia Injini Yake AZX -V5 lakini...
Pikipiki aina ya SANLG nyekundu yenye namba.T 672 CED imeibiwa baada ya mwenye nayo kuipaki nje ya benki ya NMB BUNDA MJINI na kuingia ndani.
Alipomaliza shida yake benki kutoka akakuta...
Habarini wana jamvi
Katika mihangaiko yangu leo asbhi niko na drive mara kwenye dashboard taa ya AT OIL TEMP ikawaka (ilitoke baada ya kuweka sport mode kipindi na overtake). Nikawasiliana na...
Naomba msaada kwa anajua sehemu wanazouza spare Mpya za hii gari,
Nimekaa na hii gari kwa mda wa Miaka 2, na ndani ya miaka miwili nishatembea zaidi ya Km 100,000. Udhaifu niliyougundua kwenye...
Wadau,
Nataka niingie shule ya udereva kwa sasa naomba mnijuze ni 'driving school' ipi ni nzuri na inatoa huduma ya uhakika nipo maeneo ya tegeta na ningefurahi kama isingekuwa mbali sana na...
Wakuu salaam na heri ya Jumapili,
Naomba kueleweshwa juu ya matumizi ya chassis number kwenye magari pale ambapo unakuwa hujapata plate number ya gari husika /japo siku hizi watu wengine wanakuwa...