Mteja wetu mmoja kauliza swali hilo,
12HT ni nzuri kwenye upande wa matumizi madogo ya mafuta ukilinganisha na 1HD-T au 1HZ-T.
Changamoto ya 12HT ni kuwa ni ya kizamani na hivyo kui-service ni...
Haya,
Wale wenye uzoefu nishaurini. Nimepambana kwa Mchina hapa, mwisho wa mwezi huu akinilipa mshahara ninataka kuvuta usafiri huu moja kwa moja kutoka JAPAN.
MAZDA Axela Sport ya mwaka 2004...
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu...
Wakuu naomba mwenye ujuzi anitajie Spark Plug gani nzuri kwa injini ya 1NZ FE hii injini common kwenye IST, Spacio, Raum na Runx.
Mwenye ujuzi tafadhali naomba recommendation.
Habari wana JF. Nina mpango wa kununua gari miezi ijayo mwaka huu. Ninaishi na kufanya kazi offroad. Hivyo nimefikiria kati ya machaguo mawili. Prado SX na Hilux Surf. Je nichukue ipi?
Nipo open...
Nimeenda kwa fundi (Hapa Arusha) akaniambia gari yangu (VX-Diesel ya 2000 & Manual) imekufa vifaa vifuatavyo;
1. Booster ya Break (tatizo: ukikanyanga break gari ikiwa on inafanya kama inapiga...
Magari yapo mengi barabarani na mengine tunayamiliki. je tunajua nchi zinazomiliki kampuni za magari hayo?
1. TOYOTA, NISSAN, ISUZU, SUZIKI,MAZDA, HONDA na MITSUBISHI-JAPAN
2. MERCEDEZ BENZ, MAN...
Wadau nina gari langu Toyota Starlet Carat. Tatizo ni kwamba nikiwasa linatetemeka (vibrate). Mounting za Engine ziko vizuri.
Je, tatizo itakuwa ni nini?
Ndugu wana JF, naomba kutaka kujua nahitaji gari ndogo atleast Starlet nimetenga bajeti ya 3.5 mpaka 4 million. Naomba mwenye uzoefu na hii gari afunguke mfano ulaji wa mafuta, uimara wake...
Wadau, kuna mdau anahitaji gari tajwa hapo juu..
Iwe haijasafiri Sana
Haijapata ajali na kurudiwa rangi
Iwe na cc 2.4
Iwe na hali nzuri
Iwe namba D
Bajeti yake ni tshs 16 m
Karibuni..
Naomba mnifahamishe nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 alafu natakiwa nisimame umbali ambao sitaweza kupangua gear hadi kufika namba moja je nitafanyaje?
Msaada wenu tafadhali
SABABU ZA GARI KUCHEMSHA
1. Kuvuja kwa mfumo wa upoozaji
2. Kuziba kwa njia za rejeta
3. Kiwango kidogo cha Oil
4. Tatizo la pampu ya maji
5. Tatizo katika feni za kupoozea injini
ISHARA ZA...
Wajuzi naomba nipeni elimu kidogo nataka kuchukua ndinga kwa mtu ni Toyota Allex, ni vitu gani vya muhimu kuangalia na kuchunguza kabla sijatoa hela nisije kupigwa.
Salaam wakuu, kwa wazoefu wa kuagiza magari nje naomba kujua hii gari hapa chini mpaka naikamata mkononi niandae kiasi gani? Nikimaanisha naomba gharama zote ambazo natakiwa kuzufahamu.
Gari...
Habari Wakuu,
Nina Budget Ya Tsh Milioni 10, Je Naweza Kuagiza Gari Ipi Nzurii.
Sifa Iwe Imetembea Si Zaidi ya Kama 50,000, Mwaka Kuanzia 2009 Kupanda Juu, Ikiwa Ndogo Yeyote Sawa Ilimradi Ndio...
saada tutani sijawahi miliki gari nataka mwisho wa mwezi huu ninunue gari Kati ya TOYOTA SPACIO NEW MODEL AU TOYOTA RASTICS SASA Wadau na wazoefu nipeni ushauri.