Habari zenu wakuu,
Kuna kitu ningependa tupeane elimu kwa kiasi chake. Pale nitakapokosea msisite kunielekeza maana mimi pia najifunza hapa kwa wanajamvi na ma injinia mliotukuka humu JF...
Habari za jioni wakuu,
Nilikua naomba ushauri kuhusu model gani nzuri ya scania mende kwa matumizi ya kazi za ujenzi kama kubeba kifusi, kokoto na mchanga.. nimekua nikitumia scania 114 - 340 kwa...
Nina gari Toyota L/C Prado -Engine 1KZ: CC - 4166: Matumizi ya diésel yalikuwa Lita 1 kwa 9 kms, kwa sasa hivi linatumia Lita 1 = 6 kms, naomba ushauri wa kitaalam wa tatizo hili.
Anayejua fundi wa redio ya gari ya Android, ni mpya kabisa fundi alipokuwa anarekebisha umeme nadhani alipigisha shoti. Redio inatoa sauti ila kioo kinablink white light tu.
Habari, jamani wataalam naomba msaada, kigari changu aina ya Toyota Verrosa
1. Waya wa ABS mkono wa kulia umekatika
2. Waya wa kufungulia buti umekatika (nikipata complete na wa tank la mafuta...
ELIMU KUHUSU GARI YAKO
Ikiwa battery imekufa ghafla na gari yako ni automatic na huwezi kupata msaada wa haraka, inyanyue tyre moja ya mbele kwa kutumia jeki, weka gear kwenye D, funga kamba...
Habari.
Napenda kushare uzoefu hapa kidogo nina gari ndogo ambayo ni VOLTZ na nimekuwa nayo sasa kwa takriban 3 years. Miezi kama 10 iliyopita nilianza kuona gari inakosa nguvu kwa mbali. Baadae...
Tafadhali wajuvi hapa jukwaani naomba mnichagulie gari kati ya haya Spacio new model, Wish Toyota au kama unajua gari nyingine zinazokaribiana na hizo ila zisiwe Sienta au Raum au Toyota Isis na...
Habari zenu.
Kama kichwa cha habari kisemavyo, wale wajuzi wa magari pia wale wenye uzoefu na hizi gari DAEWOO NUBIRIA naombeni ushauri wenu wa jinsi hii gari ilivyo.
- Ubora
- Upatikanaji wa...
Hivi hizi sticker huwa zinasaidia nini hasa. Na leo nimekutana na IST ina sticker kibao mojawapo imeandikwa OFF ROAD. Nikabaki kucheka. Hivi hizi sticker huwa zinawasaidia nini hasa jamani.
Nataka kununua Jenereta ambalo lina uwezo wa kuwashwa pamoja na mashine ya kusaga HP 20 na kukoboa HP 15.
Je, Diesel silent generator itatakiwa ya KVA ngapi?
Naomba kuwasilisha
Wakuu,
Nimekutana na changamoto hii kwa mara ya kwanza. Coil za engine tajwa hapo juu zimetolewa katika engine kama hiyo tuite Engine A zikawekwa katka engine nyingine kama hiyo tuite Engine B...
Habari Wakuu,
Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
Habari ndugu zangu. Naomba kufahamishwa kuhusu:
1. Muda wa kulipia clearance na ushuru bandarini tangu gari uliyoagiza nje iripoti.
2. Muda wa na adhabu endapo nitazidisha muda wa kulitoa gari...