JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Uimara wake, Upatikanaji wa spare, na uwezo wa kuhimili mikikimikiki katika Barabara za Vumbi.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Gari hilo maarufu lililopewa jina la BEAST (mnyama mkali) kutokana na kusheheni mifumo mbalimbali ya kujilinda dhidi ya jaribio la mashambulizi kwenye msafara wa rais wa Marekani, limeonekama...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
Naona tu watu wanasema nataka D au C na wengi hawapendi namba B. Naomba ufafanuzi hizi, B au C au D zina maana gani katika magari au zinaashiria nini?
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Ni wepi wataalamu wa upigaji rangi kwa magari na pia wa bei ambayo ni reasonable. Nimepiga rangi mahali ila zinafubaa mapema.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu, Naomba kujua toka kwa mafundi na wenye uzoefu, hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia mabampa ya hizi gari? Maana naona gari nyingi sasa hivi tena "mpya kutoka Japan" zinang'oka sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za muda huu ndugu jamaa na marafiki..... Tunamshukuru Mungu tunaishi. Ndugu zangu naomba ushauri kuhusu ni gari ipi nzuri ya kununua, nimejichanga sasa nimeona nipate usafiri hapa nina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Humu JF na kwingineko kwenye Social platform kumekuwa na mijadala isiyoisha 'endless debates' juu ya magari madogo ya kutembelea vs yale makubwa na yenye injini kubwa...Binafsi nimekuwa...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu, Naomba kujua toka kwa mafundi na wenye uzoefu, hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia mabampa ya hizi gari? Maana naona gari nyingi sasa hivi tena "mpya kutoka Japan" zinang'oka sana...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada wakuu, Uzuri nilishaiegesha nipo zangu ndani nasikia mikelele, tatizo nini? Kwa anayefahamu anielekeze.Kwasasa nime disconnect battery ya gari ndio imeacha kelele ila nikiconnect tu...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Naomba kufahamu kama kuna tofauti ya msingi kati ya klugger L na klugger L hasa inayohusisha ubora. Karibuni wazoefu wa magari mtujuze!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za saahii wanajukwaa , nahitaji gari aina ya Toyota porte iwe katika hali nzuri bajeti MIL 5 cash, kama unayo njoo ni DM tufanye biashara !
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc Naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, mwenye kufahamu gharama za kufanya overall engene kwenye gari aina ya rav4J, mnisaidie ili nifanye bajeti sahihi, na mambo gani muhimu ya kuzingatia ktk kufanya overall engene
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu kuna hizi gari mbili nataka tuchukue moja wapo naombeni ushauri ipi itakuwa nzuri kwa mizunguko ya mjin na safari za mkoani mwisho wa mwaka. hiyo hapo juu subaru. harrier hiyo hapo pia
1 Reactions
123 Replies
23K Views
Habari nahitaji stabaliser link kwa ajiri ya subaru forester crossport iliopo imechoka gari inagonga kwenye bumps. Nahitaji moja tu niambie eneo ulipo na bei kwenye pm.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, hii gari nimeielewa sana kuanzia muundo wake wa nje, ndani naperformance yake... nimeona ya 2WD(inayovuta mbele) inakwenda 100KM kwa 4.7L na ile ya AWD(mbele na nyuma) inatembea 100KM kwa...
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habarini wakuu, naomba msaada mwenye ujuzi na uzoefu kuhusiana na bajaji za mizigo za wanhoo zenye carrier kubwa kidogo, anipe mwongozo hasa kuhusiana na uimara wake ukilinganisha na hizi nyingine...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina gari aina ya premio old model niliiacha nyumbani wiki moja nikaenda safari nimerudi nikawasha imegoma kuwa nikatoa betri kwenda kucharge nimerudisha betri bado imegoma msaada please
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…