Wakuu naomba kuelekezwa kwa fundi wa kukata (kuigawa nusu) shock ab. spacer, ambaye ni mtaalam mzuri, wa kuchonga vyuma,anikatie spacer yangu. Nna marekebisho nafanya katika system ya suspension...
Habari za leo wana JF!
Nina nia ya kununua gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu ya maisha. Nafikiria kununua Mitusbishi Pajero iO (GDI), lakini kusema ukweli sifahamu uzuri na ubaya wa...
Wakuu habarini
Wajuzi na wataalamu wa hizi gari naomba kujua tatizo la hii gari yangu yaweza huwa nini? Huwa inajiweka free yenyewe ikiwa kwenye mwendo, inakuwa kama inasleep na wakati huo ipo...
Habari zenu wanna Jf
Mimi ni kijana mjasiliamali nafanya biashara zangu ndogo ndogo za mtaaa kwa mtaa, nimekuja kwenu nahitaji uelewa coz nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 sasa naombeni...
Ngunda transport.
Inayotaarifa nzuri kwa uma hasa wafanyabiashara wanaosafirisha mizigo kutoka #DAR ES SALAAM Kwenda....
Igunga
Nzega
Kahama
Tabora
Shinyanga na
Mwanza
Kuwa wanakaribishwa. Hapo...
Salaam kwenu nyote,
Kwa wenyeji wa Shinyanga Manispaa naulizia wapi kuna driving school makini, ukiachilia mbali VETA, nitashukuru nikipata na price husika tafadhali!
Hamjamboni WanaJF,
Kwa wale wanomiliki au kuhusika katika biashara ya usafirishaji kwa magari, nawaletea habari njema! Kero kubwa la wizi wa mafuta sasa lina suluhu ya kisasa na ya kutumia...
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kuna issue ina nitatiza. Nimepigwa faini barabarani na nimetoka kulipia bank, Je baada ya kulipia bank ndo basi au kuna hatua nyingine yakufuata ili wakufute...
Habari zenu,
Naomba kufahamishwa storage rate (dollars per day) ya magari pale bandarini pamoja na ukokotoaji wake.
Nazungumzia gari ya ukubwa wa mid-size SUV kama Toyota Prado.
Natanguliza...
Toyota Will
Toyota Porte
Toyota Sienta
Tuwasiliane haraka nahitaji gari ndogo aina hizo na tayari nmeweka bajeti ya Tsh Mil 5. Kuna watu wanaweza kuwa na shida ya haraka na hiyo pesa.
Nina gari...
Mambo vipi wakuu...
Nimeona nililete hili swali hapa coz mara nyingi limekuwa likinisumbua sana... Na hii inatokana na historia yangu ya huko nyuma mana gari ya kwanza kuimiliki ilkuwa ni spana...