JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Jamani naomba kuuliza swali kama meli ina breki? Naomba msaada Offshore Seamen
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Jamani Nitambua Humu Kuna Wataalamu Wa Magari Na Beia Zake,nina Milioni Kumi Nahitaji Gari Ya Kutembelea,je Ni Aina Gani Ya Gari Naweza Pata Kwa Hela Niliyonayo,pia Mafuta Inatumiaje,iwe Nzuri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii gari, uimara wake na ubora wake. Pia kuhusu spea. Long trip na short trip na vipi kuhusu ulaji wa mafuta.
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Habari zenu Ninataka kununua gari, Toyota Rush, hii iliyopo ktk link hii:- Toyota Rush 2007 Je, itanigharimu kiasi gani hadi ninaitia mkononi? Msaada wenu tafadhali . Na pia ufafanuzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mko poa Ndugu zangu,naomba kujua kwa undani gari aina ya Toyota Corolla X,asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nina pikipiki honda NX 650 Inatoa moshi mweusi wakati hard acceleration.nini sababu? Nini suluhu la hilo tatizo?
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari jf members, Naomba msaada kuhusu Isuzu Wizard kwa wale ambao washawahi kutumia hizi gari.Ni ya petrol. Ubora na matatizo yake.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nimesikia hiyo kwa baadhi ya wadau kuwa unaweza ukalipia road licence kwa instalment yaani lile deni likikamilika ndio unaenda TRA kuchukua stiker ya kubandika kwenye chombo, mwenye kuelewa kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni manual ya mwaka 2005 na ilikuwa inatumiwa na mwanasiasa ambaye amemaliza muda wake hivyo kuamua kuuza kilicho chake na imetembea 300000km mpaka sasa iko barabarani.nitawawekeeni picha hapo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam, Nahitaji gauge meter ya nissan hardbody niweze kuifiksi katika gari tajwa ,maana iliyopo ni kwamba mishale haisomi haifanyi kazi pia 'wiring' yake ipo corrupted, taa sign nazo...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Jeep 2010 limited edition.
Bei: Million 29
Imported to Tanzania in 2012
Mileage: 22,000km
240km speed
Automatic na semi manual
4WD
(Maelewano yapo)

0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pita pita zangu kwenye web za magari meona brevis rangi nyeupe rim nzur low profile interior ni cream with leather seat bei usd 2600 tu.. Hebu tuambizane vitu vya kufanya na kuto kufanya ili...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zenu wadau, Kuna kitu nimekua nikikiona kimeandikwa mbele ya gari RS (hasa hizi gari ndogo). Na mda mwingine nimeona kwenye matangazo ya magari kwamba gari ina mfumo wa RS Je ni kitu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nil
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hii ndio Land cruiser ya 2016 South Africa inakwenda Rand 660,000 change ipo Tsh 160 kwa Rand 1 kwa sasa...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Ninaweza pata TOYOTA RAUM MPYA!! New au Old model???
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nataka used car in Tanzania,iwe katika alinzuri,budget ni 4.5 0789747452
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawasalimu wote humu ndani Naomba msaada wa mawazo /ushauri lipi bora kuagiza gari moja kwa moja toka Japan kwa kutumia makampuni yanayofanya shughuli hizo au kwenda direct show room za hapa hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, gari langu limeingia grease na oil kwenye seat, na sehemu nyingi za ndani naomba kwa anayejua car wash ambayo wanasafisha ndani vizur aniambie! Salar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…