Habarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya.
2.Na kwa siku mapato yake yako...
Heshima kwenu wakuu.
Nina m8 nahitaji gari zifuatazo.
Premio new model no.C au D.
Raum new model no.C au D.
Vitz new model no C au D.
0753255844 whatssap.
Ziwe na hali nzuri.
Wana JF wenzangu naombeni msaada kwa hili,
Naona gari nyingi sana kwenye bonnet huwa kuna uwazi (tundu) kuangalia uelekeo wa gari na sijajua huwa unakazi ipi, mfano Subaru Forrester, Toyota...
Ndugu wana jamvi.
Nawaomba msaada maelezo uzuri na ubaya wa gari hili hapa kwenye attachment, ninataka kulinunua, ila sina uzoefu mwingi kuhusu gari hili.
Asanteni sana
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba kujua undani wa nissan civilian bus, maana nihitaji kwa matumizi ya biashara either ya daladala au kukodi, nimekuwa nikisikia habari...
Wataalam wa Magari, Jf.
Naombeni ushauri wenu kuhusu convinient Family Car. Nataka gari ya familia ya watu 7,,, itakayokithi mahitaji yangu. Nimekuwa nikifuatilia magari haya, Gaia, Picnic na...
Habari zenu!
Kwa wale wazoefu wa pikipiki, naombeni kujua ni aina gani ya pikipiki mpya naweza pata kwa bei kati ya mil 2 mpaka 2.5, na ni maeneo gani hapa Tz, Dar naweza pata nikimaanisha...
Habari jamani naomba ufafanuzi wa hizo gari kwa ajili ya kwenda kazini na kurudi sehemu za mijini napia kwa safari za kutoka DAR mpaka mbeya hipi ni nzuri na na imara zaidi. KARIBUNI
Kila napoendesha gari kwa wastani wa kilometa 10 hadi 15 au engine inapopata moto taa ya engine hua inawaka, nikipaki gari na kuzima kwa muda engine ikapoa then taa ya engine hua inazima hadi gari...
Vibali viko sawa hadi 2017, ni namba C, usiulize AC maana utaganda, spare tyre mpya, pamoja na carrier yake juu, picha hapo chini zinajizungumza zaidi kuhusu Gari na hali yenyewe.
Habari wana jf'
Naomba msaada kwa wenye uzoefu was magari ;Gari yangu ilikuwa inatokea puto mtu anaputo kwenye dashboard fund wangu aliniambia imekata mkanda wa hone;na ilikuwa kweli nimereplace...