JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hawa Mercedes Benz sio wa kuwachukulia kitoto. Sasa wametoa hii 2nd gen ya AMG GT (GT 63 to be specific) aisee ni kali. Usichanganye na SLS kwa leo. Tukumbuke AMG GT ni coupe yenye arrangements...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
wadau Nawasalimu. Naomba kujua ni TYRES za Brand gani ni nzuri IMARA na zina Ubora kufunga kwenye Gari.Sasa hivi kuna Tyres za MAKAMPUNI Mengi mpaka kujua Uimara na Ubora imekuwa Kazi sana ILA...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na...
5 Reactions
182 Replies
42K Views
Nina rafiki yangumambo yamemkalia kombo,anataka kuigeuza altezza yake kuwa bolt. Lakini kwa injini iliyomo hawezi kupata faida,je anaweza kuweka injini ya IST? Is it compatible??
1 Reactions
9 Replies
476 Views
Habari zenu wana JF, nataka kununua gari kutoka Japan, ila sijawahi kumiliki gari lolote, nilipo angalia mtandaoni niliona magari niliyotaja hapo juu yako affordable kwangu,je ninunue gari gani...
1 Reactions
5 Replies
675 Views
Nilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana. Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5 Body ni station wagon Sasa kwanzia...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Gari ni kitu nyeti na cha pekee sana kwa wanaume na hivyo kukipenda ni sehemu ya ibada ya kiume ili kuishi vizuri na kupata heshima kwenye jamii. Mapenzi ya gari kwa mwanaume hayawezi mithirika...
18 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwema wakuu, je ni speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki na ilikuwa ni gari gani au pikipiki gani? Nikianza mie nakumbuka mwaka 2017 nilikuwa na Cresta GX100 yenye engine...
24 Reactions
593 Replies
38K Views
Wakuu mfuko wangu unaniruhusu kununua Mazda CX5 yakuanzia mwaka 2014 kushuka chini...msaada wenu nichukue ya specification zipi kuanzia engine,rangi nakila kitu
4 Reactions
3 Replies
354 Views
Kati ya gari hizi mbili ambazo naona kwasasa zinanunuliwa sana kwenye miji mikubwa zikiwa na namba E, ipi inafaa zaidi kwa matumizi ya kawaida ya mjini. Zote ni 2.0 AT petrol za mwaka 2013/14 na...
12 Reactions
111 Replies
14K Views
Wadau salam,mimi kabwela "Common man" au msakata tonge nina kausafiri kangu Suzuki Swift second generation ya 2008.Engine yake ni K12B. Je atf yake ni ipi,najaribu kugoogle nakytana na vitu kama...
2 Reactions
8 Replies
400 Views
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe...
41 Reactions
133 Replies
10K Views
Men of this forum. Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na...
11 Reactions
147 Replies
26K Views
Habar wakuu ushauri wenu ni guta Gani ya kampuni gani nzuri imara...guta leenye nguvu imara ...nani wakala wa yupi kariakoo ana Bei nzur
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje? Mimi naona haya...
1 Reactions
6 Replies
444 Views
Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada. Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter. Tuone kama...
13 Reactions
78 Replies
13K Views
Wakuu Naomba msaada wa kujua Maana ya hii Taa ndogo ya kushoto inawaka red katika dashboard chini ya kisahani Cha rpm. Nimeigundua leo ina blink red nikiwa ndani na hata nikifunga mlango na ku...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Salama wakuu.. Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video.. Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu...
6 Reactions
105 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…