JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hata kama ni ubahili. Huu wa hawa Maafisa Usafirishaji umezidi aisee!
3 Reactions
18 Replies
927 Views
Waitalia hawapoi, wakati juzi juzi tu wametoka kuzindua Lamborghini Revuelto (ipo sokoni kuanzia huu mwaka 2024) iliyomreplace Aventador (iliyotokea 2012 hadi 2023) sasa wamekuja na Temerario...
5 Reactions
5 Replies
431 Views
Wakuu nimeshuhudia hizi gari zikitelekezwa Garage kadhaa hapo Dar. Wamiliki wamechemsha kuzimaintain? Tuachane na kumiliki gari kwa kufuata mkumbo. MC pilipili like X3 lake sijui kalificha wapi...
21 Reactions
504 Replies
44K Views
Habali wana jf.Jina(x) mkazi wa unguja town age below 30,Nategemea kununua sport bike (500-600cc) kwa mizunguko ya mjini na mara 3 kwa wiki kusini unguja.Budget kuanzia 8m-10m,ni kampuni ipi...
1 Reactions
62 Replies
4K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
10 Reactions
139 Replies
14K Views
Habari za mida hii wanajf. Kama kichwa kinavyosomeka. Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Yesterday, a Scania bus decided to test its wings, zooming down the highway at a jaw-dropping 140 km/hr. Now, we all love a thrilling ride, but when your bus feels more like a rollercoaster, it’s...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT https://www.jamiiforums.com/threads/cng-kuwaangamiza-waarabu-tanzania-yalamba-bingo-nzito-gesi-asilia-toka-kusini.1606464/...
10 Reactions
231 Replies
46K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, naombeni kujua hizi shock up aina ya koroma ni imara? Maana kuna fundi hapa ananifungia kwenye duals yangu mwenye kuzijua vizuri anijuze tafadhari!
1 Reactions
0 Replies
212 Views
Hakuna jinsi. Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S. Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical...
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Nataka kununua gari namba C au D kwa bajeti ya million 7-7.5 Machaguo 1. PREMIO 2006 2. CARINA TI 3. IST 4. ALLION 5. SPACIO Ni gari ipi hapo inayovumilia na maintanance yake haiumizi kichwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari Wana JF Kuna mtu n mtumishi wa umma anataka kuagiza Subaru forester ya 2012 angependa ajue gharama hadi anaiweka mkononi Pia angependa kujua akipitia process za kuomba msamaaa wa kodi...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Bei ya mafuta inazidi kuwa mtihani,naomba mzoefu anisaidie yafuatayo; 1.Gharama za kuweka. 2.Gharama ya gesi kwa kilometer mija. 3.Nguvu ya gari. 4.Mafundi wa kuweka mfumo. 5.Vituo vya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa...
10 Reactions
5 Replies
2K Views
Heri ya siku njema ya Mwanzo wa wiki wakuu. Leo nimekuja na somo ambalo ni nadra sana kulipata. Nasema ni nadra sababu watu wemgi huwa na dhana kwamba gari yangu ikiwa na masega basi kama...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii gari ya 2012 nimevutiwa nayo nataka niiagize, ila natamani kujua ambao wamewahi miliki au wanaimiliki je ina changamoto gani? Natanguliza shukrani
3 Reactions
4 Replies
465 Views
Wakuu nataka nijilipue niagize huu mzigo. Kwa yeyote anaefahamu changamoto za hizi gari tushauriane hapa nisije ingia cha kike. Karibuni. [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
626 Views
Habari za kushinda wakuu? Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard...
7 Reactions
66 Replies
6K Views
Wakuu habari! Msaada kidogo kwa wajuzi wa magari. Nina gari (Toyota Ractis) nikiendesha nahisi harufu ya petrol mbichi ndani ya gari. Nimepeleka kwa fundi kabadili plug lakini bado tatizo halijaisha.
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…