Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda.
Sasa kuna jitu lenyewe halijali...
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10...
Wakuu,amani iwe nanyi.
Naombeni ushauri,kuna kasenti nimekanyaka mahali nataka kununua gari lakini sina uzoefu wa hizi gari mbili; Subaru Forester turbo 2004 Vs Nissan Xtrail. Kipindi hiki gari...
Habari za usiku wataalam
Jaman mimi nasema ukweli kwenye magari bado ni mshamba nilijichanga changa nikanunua gari ya kunisadia mishe za hapa na pale ni Toyota IST, gari naweza sema bado ni...
Wakuu habari.
Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue.
Vipi gharama ya engine...
Nimefanya Kazi ya uber kwa muda kidogo Nikiwa napewa Day waka na Watu au Marafiki zangu. Sasa nimefanikiwa Kupata kiasi cha pesa nahitaji Gar za mkataba au mikopo Nafuu .
Pesa niliyonayo ni...
Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao..
.
Wakiwa...
Kibongo bongo, Toyota hana mpinzani kwa idadi ya magari na "kuaminiwa" na watu. Ila sasa kwa gari "imara" used kutoka Japan, Toyota brand ndio inaweza kuongoza, ikifuatiwa na Honda namba tatu...
Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna...
Za siku wakubwa. Leo naomba niwaletee uzi ambao asili yake ni kutoka kwenye group letu la whatsapp la ISAL Motors juu ya malalamiko kwamba kuna gari fulani ni bora kuliko ingine kwamaana ya kudumu...
Kwema Wakuu
Naomba kujuzwa spare parts za hii gari tajwa NISSAN HARDBODY J83 ENGINE QD32 napata wapi za mtumba imported na spare used za hapa hapa bongo (maana spare used za hapa bongo ni cheaper...
1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha...
Habari zenu wakuu,
Naomba uzoefu kwa ambaye ameshawahi kuitumia hii gari (Swift) anipe uzoefu wake kwenye mambo yafuatayo:
1. Uimara kwenye barabara zetu za mikoani.
2. Upatikanaji wa spare parts...
Wakuu poleni na majukumu,
Naomba msaada wenu Gari yangu imekuwa na Tatizo la kuzima ninapokuwa naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima...