JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana. Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Hello Great Thinkers, Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania. Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi...
3 Reactions
255 Replies
98K Views
Hakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara kwamba idadi ya magari yanayonunuliwa na kuingizwa Tanzania inazidi kuongezeka mara dufu siku...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Audi A4 ni line ya compact executive cars ambazo zimekua kwenye uzalishaji tangu 1994 huko German na Audi ambayo ni subsidiary ya Volkswagen Group, Subsidiary yani ni kama CCM na ACT hivi [Jokes]...
30 Reactions
84 Replies
18K Views
Chasis ya Scania Bus engine nyuma Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo...
62 Reactions
1K Replies
140K Views
Anayeifahamu kwa kina (consultant) wa hiyo gari kabla sijachukua. Nimedhamiria ya 2010, 7seats na nalipia next week. Nahitaj mshaur mtaalam na mzoef na ikibid nimwone kama yu Dar. Pia naomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu wa jamvi habari zenu, Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable...
1 Reactions
62 Replies
21K Views
Habari za asubuhi wadau, nimeona sehemu hii gari "SUZUKI SWIFT" INAUZWA Naomba kufahamu uimara wake na shida zake hii gari kabla sijafanya maamuzi. Na ambatanisha na Picha. Natanguliza Shukrani...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Moja ya gari nayoiamini ktk utendaji wangu wa kila siku Nissan Y60
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Je, Guta zilizofungwa engine za pikipiki ni vyombo vya moto? Na je, ni kwanini hazisajili na kupewa namba za usajili?
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari. Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna habari gani?
9 Reactions
105 Replies
11K Views
1. Nissan Qashqai 2. Nissan X-Trail ya 2014 3. Honda CR-V 4. Hyundai Tucson 5. KIA Sportage 6. KIA Sorento 7. Mazda CX-5 Nitapambana mpaka nilitie mkononi gari moja.
6 Reactions
104 Replies
6K Views
Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break...
1 Reactions
6 Replies
636 Views
Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge...
8 Reactions
28 Replies
11K Views
Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa. Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari wadau , Nina gari yenye engine ya 1zz ina tatizo la engine kutetemeka na rough idle sana sana ikiwa silence au slow speed, pia exhaust ina tetemeka mpaka inagusana na body. Nilienda kwa...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance...
9 Reactions
156 Replies
10K Views
Msaada wenu unahitajika wakuu.pikipiki yangu TVS 125.Mwaka jana iliua cylinder head nikaiweka ndani,wiki iliyopita nilinunua cylinder head mpya nikafunga,Tatizo linalonikabili ni kuwa ukiiwasha...
0 Reactions
4 Replies
412 Views
Hello comrades kichwa cha habari kinajieleza please msinichoke naombeni elimu... Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…