Habari wana JF.
Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu.
Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka...
Wakuu Habari zenu.
Kijana wenu natarajia kununua gari mwishoni mwa mwezi huu. Magari niliyo yapendekeza mpaka sasa ni mawili tu:
- Toyota RAUM
- Toyota RACTIS
Sijawahi kumiliki gari, hii ndio...
Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini.
1. Reach stacker
Reach Stracker ni mtambo...
Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage.
Tuchukue...
Jamani naomba msaada kwa nayeifahamu vizuri, anisaidie nataka kuinunua kwa mtu. Imetengenezwa 1993 model ni pajero ni manual ina mile 285243 ulaji wake wa mafuta ukoje ...naomba nisaidiwe ...nione...
Wakuu,
kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.
Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye...
Umiliki wa gari ni jambo zuri sana ambalo ni ndoto ya watu wengi lakini ujuzi wa magari ni jambo linalofahamika na watu wachache sana. Kama unamiliki au umekabidhiwa chombo chochote cha usafiri...
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo...
Wanajamvi,
Kama tujuavyo IST ndio Gari zilizo nyingi kwa sasa mtaani na zote zikiwa na Engine model 1NZ-Fe (CC1490) na 2NZ-Fe (CC 1290)
Engine za 1NZ na 2NZ zote kwa pamoja hukumbwa na matatizo...
Naomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na...
Wadau habari.Hivi nauliza hakuna app za kuuza na kununua magari zaidi ya kupatana na Jiji.
Na je hakuna channel au magroup ya wauza magari.Si unajua tena najitagutia ka mkweche.