JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari ndugu zangu. Naomba mnisaidie kujua kwa nini ninapoendelea kupima oil ya engine kwa dipstick ninaona inapungua wakati hakuna mahali popote panapoonesha kuvuja (leakage) kwa oil hiyo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuuu nafikiria kupelekewa virimu vyangu size 14 vikanyoonywe Ili viweze kukata mkao wapekee wa kimonster nikiweka tairi zivimbe flank hivi naombeni ushauri
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
15 Reactions
141 Replies
23K Views
Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu? Au...
1 Reactions
8 Replies
776 Views
Habari wakuu, Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu mmeamkaje? Binafsi naipenda sana subaru nikiionaga mtu road ana drive huwa naona wivu sana. Ndoto zangu ni kumiliki subaru forester XT hii gari naipenda sana. Najipanga ni import hio...
12 Reactions
353 Replies
72K Views
Hapa nazungumizia Models zote za 70s kama 70, 76, 78, 79... Hizi Gari Mjapani alitengeneza kwa kweli, Kila model anayotoa ni chuma Ni imara, zina nguvu, zinavumilia, Zilitengenezwa maarumu kwa...
15 Reactions
81 Replies
51K Views
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake...
36 Reactions
95 Replies
8K Views
Habari wadau., Gari yangu inatatitizo endapo kama itakaa juani mda mrefu ukiwasha kama hazisom kwenye dashboard na ukitembea mshale wa speed hausomi pia inachange gear katika high rpm. Mpaka...
0 Reactions
3 Replies
437 Views
Hamjambo wanafamilia wa jf Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo. 1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km). 2...
6 Reactions
104 Replies
23K Views
Habarini zenu! Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili:- Gari la mwaka 2011 lina features zifuatazo: Limetembea km 156,000 Rangi nyeusi Linauzwa Dola 3,500 CIF Pia lina Airbag Alloy...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini! Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo. Naziona ona sana mjini siku hizi. VW Polo VW Golf
2 Reactions
154 Replies
23K Views
Salam wakuu, Ikiwa umenunua gari Toyota Double cabin kutoka nchini South Africa unataka kuiingiza Tanzania utaratibu inakuaje wadau?
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Vyombo vya majini (Watercraft) ni chombo chochote kinachotumika kufanya safari majini kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Mfano wa hivyo vyombo ni Meli, Boti, Nyambizi (Submarine) na Sea Planes...
8 Reactions
13 Replies
12K Views
. Mitsubishi Outlander ni compact crossover [medium sized] SUV inayotengenezwa na kampuni ya kijapan ya Mitsubishi Motors, Mwanzoni ilikua inajulikana kama Mitsubishi Airtrek ilipokua introduced...
14 Reactions
26 Replies
9K Views
Wakuu nina golf Mk3 nataka ku swap engine, niitoe ya vw niweke ya Toyota. Je ni engine gani inaweza kufit bila modification nyingi sana?
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari zenu wa JF ,,ebu leo Tuambizane ni kipengele gani ulikutana nacho wakati unaanza safari yako ya kununua usafiri wa miguu minne ikakupelekea hadi ukajuta? ,, mimi nakumbuka wakat naingia kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…