JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habar zenu Wadau[emoji8] I hope mpo pouwah na Mnaendelea na Majukumu Ya Ujenzi wa Taifa Letu. Nina ombi moja hapa. Kuna ndugu yangu yupo Arusha anahitaj gar ya kutembelea na Bajet yake ni 7.5m...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Watu wengi wamekuwa wakiuliza swali. "Kwanini ndege za abiria wasiweke miamvuli {parachutes} ili kila mtu aweze kuruka inapotokea dharura" Kiuhalisia kwasasa haiwezekani kwasababu zifuatazo...
8 Reactions
13 Replies
994 Views
Uzi maalum kama umeshatumia kwa muda, labda umelichoka au unatamani kubadilisha tupia hapa watu waje PM tumalizane kuepuka cheni za wadau wengine Hapa iwe kwa wamiliki tu, tupia gari unayouza...
3 Reactions
4 Replies
693 Views
Habari za humu wataalam nataka kununua gari ndogo ya kutembelea toka kazini na kurudi nyumbani naomba ushauri ninunue gari ipi kati ya hizo mbili nakaa umbali wa km27 had kufika kazini
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Engine ya gari ina moving parts nyingi.. Kila moja ina kazi yake na mwendo wake..nyingine zinapanda zinashuka.. Nyingine zinazunguka kwa utaratibu maalumu.. Ili movements ziende kwa kufuata...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine. Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil. Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wanajamvi. Leo limenikuta jambo, baada ya muda mrefu sana wa kuendesha fuso yangu kuzunguka mikoa mingi sana hapa Tanzania na baadhi ya maeneo ya nchi za jirani katika kutafuta riziki...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo, Nina mpango wa kuagiza gari Japan, ninafikiria zaidi Harrier New model au Toyota Kluger za mwaka 2004-2006, nahitaji kujua ubora na udhaifu kati ya hayo magari mawili, na...
3 Reactions
35 Replies
15K Views
Ufafanuzi Mdogo Kumbuka ndege ina viungo vya msingi vinne (PrimaryComponents) 🛩 1. Bodi/Kiwiliwili (Fuselage) kubeba abiria au mizigo. 2. Mbawa (Wings) kupaisha ndege na kubeba mafuta. 3. Mkia...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama title invyojielezea nataka nijichange nichukue jaguar naomba wenye uzoefu na hio gari
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari! Kuna mtu yoyote anafahamu umuhimu wa kuweka bajaj kwenye gas kama mbadala wa Petrol?? Je gharama inapungua ukitumia gasi?? Au inakuwa sawa sawa na petrol?? Msaada
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada anayejua jinsi ya kuongeza masaa kwenye mashine aina ya sany au ilipo sensor ya masaa na jinsi ya kusimamisha masaa msaada tafadhali
1 Reactions
11 Replies
634 Views
Habari ndugu zangu. Nimedokezwa kuwa speed inayotakiwa gari kwenda kwa tairi husika huandikwa kwa kiwakilishi cha herufi, mfano, A, B, C na kuendelea. Naomba anayejua hili anijulishe kila...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada tafadhali, nataka kuagiza gari Japan, naomba kujua mambo yafuatayo. 1. Je naweza kufanya clearance mwenyewe bila kutumia agent? Yaani nitoe gari mwenyewe bandarini bila msaada wa agent? 2...
2 Reactions
5 Replies
932 Views
Habari. Kwa waliowahi kutumia hii gari naomba watuambie ikoje ubora wake kuanzia spea zake, fuel consumption iko vipi Asante!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeikuta twitter angalia gari lako pendwa linapendwa nchi gani
1 Reactions
10 Replies
986 Views
Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mafundi na wazoefu naomba ushauri. Gari yangu ninapowasha na gear ipo parking,rpm inapanda mpaka 2000.Nikibadili gear kuweka D rpm inashuka kidogo,hata nikiwa naendesha, nikifika kwenye tuta...
1 Reactions
10 Replies
766 Views
When it comes to choosing a vehicle, many people believe that smaller engines are more fuel-efficient and eco-friendlier than larger ones. However, the truth is more complicated than that. While...
1 Reactions
1 Replies
569 Views
Habari WanaJF, Wadau naona speed ya raia kuziuza hizi gari ambazo kimsingi zinaonekana ni gari fuel efficient na namba D. Nimeshindwa kung'amua kama zina matatizo ama inakuwaje, hebu wenye moja...
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…