JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa...
2 Reactions
7 Replies
775 Views
1. Hakikisha muuzaji anamiliki gari kihalali na ana haki ya kuliuza. Uliza kuona jina la gari na uhakikishe kuwa jina la muuzaji linalingana na jina lililo kwenye kwa blue card original. Kumbuka...
12 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
A. alaykum, za leo ndugu zangu? Naombeni msaada wenu, mimi nataka nifunge Android redio kwenye gari pamoja na zile Tv za nyuma ya siti lakini nashindwa kujua kampuni ipi ni bora na ipi ni fake...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa...
2 Reactions
6 Replies
565 Views
Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159 Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo...
0 Reactions
4 Replies
574 Views
Hello wataalamu wa magari na wazoefu wa Carina, ipi inatumia mafuta vizuri zaidi...binafsi nina uzoefu na Carina Si, 7A engine, cc 1762, hii gari inatembea wastani wa 15km kwa Lita 1, naomba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wasalaam! Heri ya mwaka mpya 2018. Ninampango wa kubadilisha tairi kwenye kigari changu ninaomba ushauri wenu kwa wenye ufahamu zaidi je ni tairi zipi bora na imara kati ya Michellin, Kumho na BF...
1 Reactions
65 Replies
23K Views
Wadau habari zenu,najua humu kuna watu wabobevu sana wa masuala ya magari.Nina gari yangu Toyota Vitz Old Model.Ghafla tu speed meter na km haziomi kwenye dash board,km zipo zile zile na speed ni...
1 Reactions
5 Replies
552 Views
Naombeni maujanja ya kuagiza pikipiki toka china. Huko naina ni bei nafuu zaidi kuliko kununua hapa bongo. Thanks Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
1 Replies
940 Views
Ma engineer habari za j2 Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye station tatu (3) tu kutokana na mazingira 1. Total 2. Puma 3...
12 Reactions
95 Replies
12K Views
Msaada wakuu,naomba kujua bei ya used,ya ENGINE YA INZ,Runx 1).full engine 2).mswaki 3).half engine 4).Gear box full.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sasa hivi tuko EC ni mwendo mputa mputa, je makadirio yako no F tunafika mwaka gani, mana wabongo kwa kuchagua namba hatujambo Tuombe uhai
2 Reactions
9 Replies
694 Views
Nimefikia maamuzi ya kuanza bajeti ya kununua gari aina kati ya aina hizo mbili kwa kwenda kutumia kibinafsi, kibiashara na kiusafirisha binadamu. Naomba kujuzwa kati ya hayo mawili lipo ni bora...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Mod naomba futa hii thread maana nmeipost bahati mbaya kabla kuna vitu sijakamilisha kuandika.
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Kuna gari nimelipenda sana VANGUARD kwenye site flani, shida lina km nyingi (230,000) na bei yake imesimama $8400. Naomba ushauri
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee... Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV. Sijui kwa herufi moja huneba magari...
34 Reactions
1K Replies
163K Views
Habarini wadau, Nimepatwa na changamoto ya gari kutowaka, yaani ukibonyeza push start button haikubali as if mawasiliano kati ya funguo na button hayapo. Tatizo lilianza kidogokidogo kuna wakati...
2 Reactions
3 Replies
441 Views
Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat ni boat ndogo iliyotengenezwa na kampuni ya Suzuki kwa ajili ya kazi za utalii,michezo ya uvuvi na familia kufurahia mazingira ya bahari au weekend. Boti hii...
4 Reactions
0 Replies
671 Views
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari. Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…