Waakuu habar zenu!, Gari yangu inatatizo la kuvuja maji, baada ya uchunguzi mdogo nimebaini maji hayo yanavuja sehem ya Radiator (RAJETA) ,Naomba kujua gharama za i/Ufundi endapo ataiziba...
NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎..
.
Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua...
Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni...
CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota.
Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009...
Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za...
Wadau kama kichwa cha habari hapo juu, nina succeed juzi kati nikafanya service, nikataka kubadilisha AC AIR FILTER. Ajabu ni kwamba fundi ananiambia succeed hazina mfumo wa AC AIR FILTER. Mafundi...
Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu
1.uimara wa gari kwa ujumla
2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri.
3.ulaji wa mafuta
4.udhaifu wake
5.kutulia barabarani
shukrani wakuu.
Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa.
Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari, kwamba magari kama Toyota Passo, Vitz, IST, Starlet, na n.k ni magari ya kike.
Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya...
Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama...
Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading
1. IST.
2. Vts.
3. Toyota Altezza Gita
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7...
Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani.
Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari...
Wataalamu naomba msaada wenu, ningependa kujua kama kuna uwezekano wa kiufundi ili niweze kutumia Toyota engine yenye CC ndogo kama 990cc, 1300CC au 1500CC kwenye Rav4 au kwenye gari aina nyingine...
Nahitaji kujua matatizo common ya hii Isuzu bighorn maaan kuna siku nimeibamba mkononi ilikuwa inatembea vzr ni comfortable nkatamani kununua ila mwnye nayo hakunipa matatizo common ya hizi gari...
Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana.
Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa.
Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini...