Wana wa JF naomba mnijuze muda au tarehe ambapo TAMISEMI hutoa majina ya watumishi walioomba vibali vya kubadilishana vituo vya kazi hususa ni kwa wale tuliomaliza mchakato toka mwezi wa sita...
Any school having vacancies in the subjects namely Biology, Chemistry and Physics ,,..... Am form six leaver of 2015 I want to teach in those respective fields.
Thanks
Kwenye uzi huu tegemea kujifunza mambo makubwa kuhusu psychological Mind of human behaviour
Ningependa watu wachague mada za kuanza nazo then tutazitolea ufafanuzi
- psychological mind of...
Nauliza ktk vyuo tajwa hapo juu kipi kina competition zaid ktk fan za civil na electr engneering mi ni form six leaver nimemaliza 2010 pcm nataka niombe mwaka huu,maana ufaulu wangu ni wakawaida...
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
HALMASHAURI YA BUSOKELO,
SHULE YA SEKONDARI LUFILYO,
S.L.P 362,
TUKUYU.
SIMU NA. 0784424024 / 0767119911.
Kumb. Na. SSL/MNF/FV-14/ .
Mzazi/Mlezi wa...
Ni mhitim wa A'level PCB 2012, Hakufaulu vizuri alipata SSD, 2013 Alirisiti Chem, Bios, Pure Math akaachana na Physics alipata CDE. Je kwa matokeo hayo baada ya kuachana na Physics akiomba MD...
1,100,000,000,000,000/-
BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini?
Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama
nimesoma pure art o level na advance, nikaomba kusoma MIFUGO mwaka 2009,kupitia KATIBU mkuu,nikapata nikasoma diploma in livestock production,nikaajiriwa 2012.Tatizo nataka nikasome Sua bachelor...
Ni mwanafunzi wa first year kutoka chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU) nasoma Bacherol of Special Need Education. It consists with one teaching subject and one specialist...
Napenda kuuliza vipi kuhusu vibali Maalumu vya kubadilisha vituo vya kazi toka TAMISEMI, vinatoka kwa batch nini? Maana naona mahimahi ya wale waliomba mwezi wa Tatu, vipi kuhusu wa mwezi wa Tano?
Nataka kujiunga na Stashahada ya Maabara lakini Phy sijasoma nina Bios. C Chem..D English...C Kisw...C naombeni msaada wenu na kama mnakijua chuo kinachotoa kozi hiyo nitajienI.
Rais Jacob Kitunga wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikukuu ya kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) kutokana na waziri mkuu liziki mashambwa aka mulokole fake kuandika barua ya kujiuzulu...