Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau ni vitabu vipi vizur ambavyo vinatumiwa sana na wanafunz wa kidato cha tano vya masomo ya physics,chemistry,puremathematics na general studies ...ukitaja kitabu taja na mtunz au publisher
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Wana jamvi msaada kuhusu midiwifery na nursing ipi ni course nzuri msaada wana jf
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Kwa Mlio Ipitia Guide Book. Kuna Chuo Chochote Wameiweka?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau UDOM wanategemea kuanzisha course ya renewable energy engineering mwaka huu kwa ngazi ya degree na diploma,hivi soko lake kwa ujumla?na sehemu gan sana kuajiriwa?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Huu uzi ni special kwa wanaUDSM wote wanaotarajiwa kuanza field tarehe 13 July na mpaka sasa hakuna uhakika wa kupata hela za kujikimu. Najua viongozi wa Daruso mmetuahidi mengi lakini jana Chuo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje! Please Assist guyz.
0 Reactions
14 Replies
19K Views
Naomba Kujuzwa Kama Results Slip Ni Ya Lazima Wakati Wa Kuripot Shule Uliyopangiwa Maana Mpaka Sasa Sion Mwelekeo Wa Kupata Joining Instruction Na Kwa Sasa Nipo Mbali Na Shule Niliyosomea Kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wakulu Mimi ni kijana mtanzania,nimehitimu shahada yangu ya kwanza BAED (linguistics and literature) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Niko hapa nikiomba kwa yeyote mwenye uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Wanajamvi naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa kujiunga na chuo (Ngazi ya cheti ugavi) Mimi ni muajiriwa kwa mda mrefu kidogo serikalini(Elimu yangu ni form 4,dvsn 4 ya 32 mwaka 2005 nimefauru...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu. Naomba kwa yeyote anaye weza Kunisaidia nikapata joining instruction ya hyo shule. nemrodmgale21@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna kijana kamaliza masomo shahada ya kwanza chuo kikuu cha dodoma anahitaji ajira popote pale ndani ya tanzania. Ni mzoefu na mwadirifu wa kazi. Kama unahitaji ni pm nikuunganishe nae.angalizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza ukiwa unaadd programm ikimaliza kuweka programm zote kwenye selection mbona hamna sehem ya kusubmitt application,au ukimaliza inakuwa automatically submottred,naomba kujuzwa plseeeed......
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu mdogo wangu amepoteza result slip yake na tunategemea atakwenda chuo na kule itatakiwa, nauliza kuna utaratibu gani wa kupata nyengine. Dogo alisoma Bukoba na sisi tupo Zanzibar kwa saa hivi?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
naomba mniangalizie post ya yuster henerco(S.0554/0029)
0 Reactions
1 Replies
833 Views
habar wandugu,naomba kujuzwa jinsi ya kupata ufadhili BMAF.
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Waungwana nisaidieni nini nafasi za Advanced Diploma tunapokwenda katika soko la ajira la Afrika mashariki. Je Advanced Diploma ni sawasawa na digeree ya kwanza, je ni mfumo kutoka nchi gani...
0 Reactions
47 Replies
16K Views
Wadau naomba msaada, nataka nibadilishane kituo cha kazi, je process anafanya mmoja au wote? Asante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nina mdogo wangu ana diploma ya JOURNALISM sasa ameniambia anataka kupiga short cut aende ADVANCE DIPLOMA kisha apige POST GRADUATE je naomben tuangalie namna ya kumshaur huyu dogo ushaur...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ninasoma stashashada (diploma) ya mifugo katika chuo fulani mkoani Dodoma, mapema mwezi uliopita kulitokea mgomo hapa hali iliyopolekea kufungwa kwa chuo kwa kipindi cha wiki mbili, wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…