Ndugu wanaJF na wadau wa elimu kwa ujumla naomba mchango wa ada. Natarajia kujiunga na masters at Mzumbe university early in October. Sina kadi bali joining instruction na fees structure.
Kutoa...
Kuna baadhi ya walimu walioajiriwa mwaka tajwa hapo juu.
Mshahara wa mwezi wa tano #wameingiziwa mshahara Mara mbili yaani walipokea mshahara double siyo wote ila ni baadhi!
Nilikuwa nataka jua...
Poleni na maisha magumu wandugu!
Naomba kufahamishwa hadhi ya chuo cha Tropical Arusha, kilichopo chini kidogo ya Clock Tower kuelekea Kijenge.
Je, ni vya uswazi au?
Je, kimesajiliwa?
Je, kinaweza...
Jamani wakuu nisaidieni hili mbona ninapo omba vyuo kwenye CAS nikikifika sehemu ya profile wananiambia nimeshawahi kuomba vyuo inatakiwa nipeleke evidence zinazo thibitisha kuwa sijwahi kuomba...
Ndugu zangu naomba mwenye kujua utaratibu wa kubadilishana kituo cha kazi ukishampata mtu wa kubadilishana nae mnafanyaje. Mtu yupo nmeishampata lakin hatujui utaratibu, sote ndo tumeanza kazi...
Wadau nimepata sponsorship kwenda kusoma kozi fulani Ufaransa nahtaj kusoma kozi ya Kifaransa kwa mkoa wa Arusha ktk chuo kilichosajiliwa na nacte msaada jamani nielekezen nisije kosa hii nafas
wadau, naombeni mwenye details kuhusu shule ya sec kiroka iliyopo morogoro,
mazingiraye na hali ya hewa.
economic activities surrounding etc. Nawasilisha
Habar wakuu mm niliahirisha masomo mwaka jana pale SUA kwa mwaka mmoja na sasa nataka kurudi tena sasa naomba kufahamishwa utaratibu wa ku resume mkopo wangu pale...
SERIKALI YA WANAFUNZI UDOSO COED 2014/2015
MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZILI LILILOKAA LEO TAREHE 19/ 06/2015 JUU YA UBADHILIFU WA KUTISHA ULIOFANYWA NA RAIS WA KITIVO CHA ELIMU NDG. JOHN...
SERIKALI YA WANAFUNZI UDOSO COED 2014/2015
MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZILI LILILOKAA LEO TAREHE 19/ 06/2015 JUU YA UBADHILIFU WA KUTISHA ULIOFANYWA NA RAIS WA KITIVO CHA ELIMU NDG. JOHN...
Toka naanza kusoma ,waalimu walitukaririsha neno "stomach" Kwa kushika tumbo kama moja ya maeneo ya nje ya mwili. Ukweli ni kwamba tumbo unaloweza kuligusa nje linaitwa "abdomen" na sehemu ya...
Habari wanajamvi.
mimi ni mwanafunzi wa accountant pale T.I.A main campus naingia mwaka wa pili sasa ila hali yangu sio nzuri sana katika hilo somo ambalo ni co subject naomba connection ya...
Given CLASS MARK and SIZE OF CLASS INTERVALS are 5 and 9 respectively.Find
(i)UPPER LIMIT
(ii)LOWER LIMIT
N.B:Upper boundary=upper limit+0.5
and,
Lower boundary=lower limit-0.5
Wakuu,
Mimi binafsi hii kitu imenichanganya sana.
Kuna jamaa alimaliza huo mwaka sasa alipata D, E kwa baadhi ya masomo yake lakini cha kushangaza TCU system inamsoma kwenye D ni B+ na kwenye E...
Diamond unakumbuka kuna watoto uliwapeleka kwa mbwebwe nyingi pale east africa international na haujawah kuwalpia chochote kile? Je ulfanya hvyo kutaka sifa?
Kuna mtu kaniomba nimsaidie ada, nilipomuomba matokeo yake ya kidato cha nne akanipa namba ya mtihani nikacheki matokeo NECTA. Ila kule hakuna majina, ni namba tu..., je kuna jinsi ya kujua jina...
Jamani,nimesikia kuna semina za BRN za walimu wa sekondari zinaendelea kuna walimu wamechaguliwa kuhudhuria semia hizo,mfano moja ya semina inafanyika mkoa wa Tabora,naomba kujuzwa hili.